Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema...
Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama ameahirisha shughuli za kampeni kwa muda wa saa 2 ili kuungana na wananchi wa Kijiji cha Mdunduwalo katika Kata ya Maposeni kushiriki kwenye...
Msanii wa muziki wa Hiphop Emmanuel Elibariki(Nay wa Mitego) amesema hali ya kukataliwa kwa wasanii na mashabiki nchini ni jambo ambalo litatoa somo kwa wasanii kuwa wanapaswa kuwa sauti ya...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema ina wasiwasi kuhusu taarifa za vifo, majeruhi, watu kupotea na kukamatwa katika muktadha wa uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba nchini Tanzania...
Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika...
Anazunguka tu wala hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi.
Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongelesha, Samia Samia Samia . Hii...
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member...
Serikali ya awamu ya 6, kama inavyojiita Mimi naungana na walio UAWA hata km nipo hai maana naamini sifi Leo naweza kufa Leo na nikaandikwa "sifi Leo Afa Leo"
Imani yangu SI kwa sababu naumwa au...
Hatuna bunduki wala silaha yoyote ila tuna bundle tu lakin tumefanikiwa kuifanya Serikali isimamishe shughuli zote nchi nzima.
Guys!.. guys! guys! sisi ni washindi maana maandamano ya kuiparalyze...
Hamjambo wote!
1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba...
ULIWAHI KUJIULIZA NINI KITATOKEA WANAHARAKATI NA WAPIGANIA HAKI WAKIUNGANA NA WATAWALA?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wanaharakati na wapigania Haki wanafanana kwa mambo mengi Sana na...
Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
Zoezi lilianza June 3 2025. Hapa ninaleta summary ya kudikia leo 18/06/ 2025 kutoka mtandao wa www.hyperAuditor.com
Mwambieni Mange Kimambi afanye yake, aachane na Watanzania. Maana badala ya...
Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana...
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa...
Nini kimetokea siku hizi.
Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano.
Fundisho: Wabunge wa CCM...
Sijui kwanini watanzania wana tabia za kusahau haraka. Tuliambiwa Rais SSH ni mwenye maoni anayeweza kuona mbali na kutenda maajabu. Tulipinga?
Si tuliamini na kuimba sifa na mashairi na tenzi...