Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema. Soma Pia...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
"Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii...
3 Reactions
6 Replies
829 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake...
1 Reactions
9 Replies
827 Views
Katibu wa NCCR Mageuzi Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Robert Busumabu na mwenzake Mwenyekiti wa Vijana wilaya hiyo, Mathayo Ndalahwa wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku...
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini,Hamida Mohammed Abdallah, leo Mei 7,2025 ametembelea eneo la soko la muda lililopo katika Kata ya Msanjihili, Mtaa wa Bank maarufu kama "Sabasaba" ambalo...
0 Reactions
3 Replies
339 Views
Freeman akihojiwa na Crown FM leo Januari 06, 2025 amesema... “Unaweza ukanitukana tusi lolote halitanitoa katika focus ninachosema sio kwamba nina uhakika wa ushindi kwa sababu ninakubalika na...
9 Reactions
91 Replies
5K Views
Hizi ndio zinazoenea kwa kasi kwamba mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA mh Mbowe atahamia CUF Na tayari ameonesha nia ya kugombea Ubunge Kawe, wadadisi wameeleza Ngoja tuone
10 Reactions
73 Replies
4K Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Bw. Daniel Chonchorio Nyamohanga, Mkazi wa Nyakato Jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha majira ya asubuhi siku ya jana. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti...
11 Reactions
352 Replies
9K Views
Salaam! Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa, Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara...
27 Reactions
63 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya kutoweka kwa Ndugu Daniel Chonchorio Nyamhanga, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambapo hadi sasa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mahesabu ya kisiasa yanaonyesha wale wabunge wa mchongo, viti maalum kupitia CHADEMA maarufu kama Covid 19 wamebakisha wiki chache sana za kuendelea kuwepo bungeni, wengi kama sio wote wameshakata...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Chama kinawatakia kila la heri waliokuwa viongozi na wanachama waliotangaza kujiondoa leo. Tunatambua na kuthamini mchango wao katika kipindi walichokuwa nasi." "Chama kitaendelea kusimamia...
12 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
18 Reactions
129 Replies
6K Views
Tutakapomaliza Uchaguzi Mkuu 2025 kama Nchi tunatakiwa sasa Tuandike Katiba Mpya na Tuunde Tume Huru ya Uchaguzi. Kwa sasa No reform No Election tumechelewa kwa sababu ya muda. Tuandike Kaatiba...
2 Reactions
9 Replies
603 Views
Nimekutana na clip ya Benson Kigaila wa enzi hizo akisema kuwa ikifika 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi, halafu kuna huyu anayesema kuwa...
9 Reactions
13 Replies
850 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla akisimikwa Kuwa "Mbokeleni" - Jina la Kichifu kwa Waluguru. "Mbokeleni" - jina la heshima la kichifu kwa jamii ya Waluguru. Hafla hiyo...
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakuna chama chochote ambacho kina mamlaka ya kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu na siyo matakwa ya chama hicho kufanya...
2 Reactions
5 Replies
346 Views
Back
Top Bottom