Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU,
Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa...
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama,
Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule,
Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai...
Kuna namna nyingi za kudai reforms na kuipata sio tu njia moja ya maandamano na hili tumekuwa tukilisema humu kila siku tunaishia kupewa majina mabaya
Lakini waTz tumekariri njia moja tu ambayo...
Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio...
Naweka kwa Muhtasari, Taarifa kwa Umma ya Luhaga Joelson Mpina ya Tarehe 6 Disemba 2025 (attachment)
Mtoa Taarifa: Luhaga Joelson Mpina (Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo aliyeenguliwa)...
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano
IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua...
Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya...
Tangu Waarabu hasa wa ukanda wa Dubai waanze kuingia kwa kasi kwa nguvu ya fedha katika nchi yetu tumekuwa na mgawanyiko mkubwa sana katika kutetea maslahi yetu kama taifa na haki za msingi za...
Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili...
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi...
''Msikubali jeshi letu kuchafuka''
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amelitaka jeshi la nchi hiyo kutojiingiza katika siasa.
''Hiki chombo kuwe kuna CCM kuwe kuna CHADEMA kuwe kuna chama...
Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa...
Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura...
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu...
Kuhusu Utekaji Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ASP Philemon Makungu amesema baadhi ya taarifa zinazoripotiwa kwa watu kutekwa ni uzushi kwani sio kila mtu anatekwa, baadhi yao wanashikiliwa na...
Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki
mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai
kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia...
Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani?
Mimi nitawachumu kwa busu la kenge.
"Nyokorikoooooo" wewe...