Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sisi kama familia tumejitahidi sana kutenganisha matukio haya na siasa ndio maana atuongeleni kuhusu CCM. Lakini haijalishi mtazamo wake wa kisiasa, haijalishi alikuwa anafanya kazi na nani...
4 Reactions
7 Replies
306 Views
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti...
3 Reactions
22 Replies
535 Views
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume...
2 Reactions
16 Replies
743 Views
Tanzania ipo katika hatari kubwa kuna dalili ya biashara za binadamu nina hoji kulikuwa na utekaji wa watoto je ulikomeshwa lini na watoto wapo wapi. Juzi juzi tu hapa kulikuwa na utekaji wa...
0 Reactions
2 Replies
200 Views
Hakuna mbunge au rais au nani aliyechaguliwa na Tanzania uzuri ni kwamba kila mmoja anajua hilo nasema kwasababu mimi sio mpumbavu na wala sioni haya wala sio bubu. Sasa wewe unajijua huna...
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Kwa sisi watafiti, nguzo yetu kubwa ni kugundua chanzo cha tatizo na kulichambua vema, ili kuja na suluhisho. Kwa kilichotokea Octoba 29, japo chanzo chake, kwa nje, inaonekana ni "ujeuri na...
1 Reactions
15 Replies
642 Views
Karibu tujadili Kuna tofauti yeyote kati ya Tanzania ya kabla ya MO29 na Tanzania ya baada ya MO29? Kama tofauti zipo ni zipi? Na je Tanzania ile ya kabla ya MO29 itarudi Tena? Mto wa mbu...
2 Reactions
13 Replies
386 Views
Kanisa katoliki kupitia TEC, maaskofu na mapadri wake wamekuwa wakionekana katika mstari wa mbele kupambania haki na ustawi wa raia Katika mambo yanayonishangaza ni katika msiba ya waumini ambao...
1 Reactions
15 Replies
523 Views
Akizungumza wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu Jenista Mhagama, Padre Emmanuel Mtambo, Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ.. Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia...
0 Reactions
17 Replies
407 Views
Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni...
4 Reactions
76 Replies
1K Views
Hebu tazama Tanzania inavyopendeza kwa ulinzi na usalama wa kutosha kila kona ya nchi. Usalama ni wa uhakika na hakikisho la amani kwa waTanzania wote dhidi ya vitisho vya kigaidi kutoka kwa...
1 Reactions
19 Replies
325 Views
Jenista mhagama amezikwa leo Disemba 16,2025 katika makaburi ya Parokia ya Ruanda ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Emmanuel Nchimbi ameongoza mazishi hayo. Pia Soma...
2 Reactions
10 Replies
441 Views
1. Serikali ya mpito ambayo haina chama na lengo ni kusimamia katiba 2. Serikali ya mseto lakini hii ni ngumu maana kuna machama ya kichawa mengi 3. Rostam na marafiki zake kumuondoa Samia kwa...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
MAANDAMANO MADAI YETU NI 1. Uchaguzi ufutwe 2. Miili ya ndugu zetu irudishwe. 3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe. 4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi. 5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe...
12 Reactions
40 Replies
754 Views
Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa...
3 Reactions
31 Replies
556 Views
Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
2 Reactions
8 Replies
246 Views
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka...
13 Reactions
94 Replies
4K Views
Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…