Siku zinavyozidi kwenda hali inakuwa mbaya sana! Kijana mdogo kabisa huyu wamemteka so said
Sasa kwanini vijana wasiandamane kwa hali hii ilivyo. Tunaishi kwenye nchi kwa hofu kubwa kama si nchi...
Imeelezwa kuwa Tume Huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Makala zilizopita nililieleza hili la kufanya maandamano Kwa mihemko na kukosa direction na Hali iliyopelekea wahalifu kufanya waliyofanya.
Maandamano yoyote lazima yanakua na kwanza viongozi...
Dodoma, 20 Novemba 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili wapya katika Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana. Uteuzi...
Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea.
*** Ni...
Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini wameiunga mkono hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa bungeni jijini Dodoma wakati akifungua Bunge la 13. Aidha, jumuiya hiyo pia imeunga mkono Tume...
1. Wauwaji walijua wanaua waumini wa Katoliki na wa Askofu Gwajima. Sheikh anasema kwa nukuu isiyo rasmi "wameona vijana wa kiislam Waliokufa si wengi hivyo wanataka tarehe 09Dec na vijana wa...
Wanabodi,
Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge.
Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili...
Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto...
Jumuiya ya taasisi za kiislamu imetoa tamko kwa matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29, 2025 akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 20, 2025 Sheikh Mussa Kundecha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Novemba 21-22, 2025, akitarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye...
Rais Samia hapa alimwambia Masauni umesema kuna mauaji yaliyotokea Mwanza na Mtwara, na kwamba kwa taarifa zilizopo ni Jeshi la Polisi ndio limefanya mauaji, na kwamba Jeshi la Polisi limetengeza...
Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na...
Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini zimelaani vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025, zikisema kuwa matukio hayo yameleta majonzi na machungu kwa familia mbalimbali, jamii...
Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amesema wanaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025...
Zanzibar kuna raisi, Tanganyika raisi ni nani? Wapeni Tanganyika serikali yao mambo bado mabichi Hali ikiwa mbaya zaidi hatutaweza kuzuia, kuziba ufa ni Bora kuliko kujenga ukuta.
Kama tumeona...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano.
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.