Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti...
4 Reactions
56 Replies
899 Views
Chadema ni kikundi cha panyaroad yafaa kiondolewe sifa za kufanya shughuli za kisiasa nchini, ushahidi upo kwenye post zao mitandaoni kwa kweli mpaka unajiuliza hivi Hawa watu wanaakili kweli? Ni...
3 Reactions
64 Replies
1K Views
D25 wananchi tutaandamana kushinikiza usitishwaji wa mauwaji na utekaji nchini sisi hatukubaliani nayo na lazima wahusika tuwawajibishe
3 Reactions
26 Replies
484 Views
Mbiu hii ipigwe kote kwenye viunga vyote vya mitandao ya kijamii, kila alipo mpenda haki tarifa hizi zimfikie kwa namna yoyote ile Nani asiyejua? Vyombo vya habari ni chombo kikiamua...
7 Reactions
24 Replies
629 Views
Kipindi Magufuli yupo madarakani mwanaharakati Mange Kimambi aliandaa maandamano ndani na nje ya nchi, nimeangalia clip akiwa anaandama katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ila nimeshangazwa...
2 Reactions
29 Replies
881 Views
Jaji Joseph Warioba amezungumza kupitia Jamhuri TV ambapo amesema sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli.
4 Reactions
6 Replies
480 Views
UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
29 Replies
769 Views
Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae...
1 Reactions
1 Replies
187 Views
https://youtu.be/yA3_tEe1Tx0
0 Reactions
3 Replies
162 Views
Siku ya pili mfululizo, serikali imeendelea kutumia mbinu ya kumdhalilisha na kumuonea Tundu Lissu kwa makusudi. Hatua hii inaonekana wazi kuwa ni ya kukiuka misingi ya haki, kwani imefanywa bila...
3 Reactions
1 Replies
154 Views
Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini...
0 Reactions
19 Replies
334 Views
Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti...
38 Reactions
79 Replies
4K Views
Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika. "Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna...
8 Reactions
24 Replies
793 Views
Prof. Anna Tibaijuka Hii “teoria ya vita vya kiuchumi” si chochote zaidi ya blanketi la propaganda lililotupwa kufunika janga la kisiasa la ndani. Ni kisingizio tu—hakuna zaidi. Tuwe wa wazi...
52 Reactions
90 Replies
3K Views
Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa...
0 Reactions
8 Replies
216 Views
Wakuu, Kuna watu wamekuwa wakiwashambulia na kuwatukana akina Maria Sarungi na wenzake kwa kuhamashisha maandamano kwa kuhamashisha watu waandamane. Mi naona ni bora hawa watu wanaowashambulia...
1 Reactions
4 Replies
176 Views
Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban"...
47 Reactions
47 Replies
2K Views
Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu...
2 Reactions
0 Replies
167 Views
Hakuna watalii Hakuna misaada Uzalishaji ni mdogo Ma Bank hayana Dollars. Haya maandamano ya mara Kwa mara ni kifo Cha uchumi wa Tanzania. Mto wa Mbu, State of Illinois
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana...
4 Reactions
9 Replies
278 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…