Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni...
26 Reactions
55 Replies
2K Views
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ? Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga...
7 Reactions
114 Replies
2K Views
Najiuliza sana swali hili, maana alikuwa chawa grade 1 wa Samia! Alikuwa kichekesh linapokuja suala la uchawa! "Aliteleza" wapi?
6 Reactions
31 Replies
716 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanaharakati walijipanga kuhamasisha vurugu Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kuharibu uchaguzi mkuu ili wasipatikane viongozi na kutoa nafasi ya maandamano...
4 Reactions
64 Replies
1K Views
Salaam, Shalom. Ili pawe na Amani, huna budi kuwatisha waovu, KAZI hii ya kuhakikisha waovu hawachezei Sharubu za Serikali, Mungu alimsaidia Hayati Magufuli kuifanya kazi hiyo kwa ufasaha...
30 Reactions
187 Replies
6K Views
Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU&...
43 Reactions
567 Replies
32K Views
Salamaleko! 1. Gen z bado hamjui nini kilitokea hapo nyuma. Hamjui tulieni. 2. Kama mnataka kujifunza kaeni hapa nitawafunza. Lakini nawajua kwa ubishi wenu. Mniambie mnataka style ipi. 3...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms? BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu! Time will tell!
7 Reactions
6 Replies
198 Views
Angalia wale vijana waliokuwa wanabebana huku wame vunjwa vunjwa mikono na miguu, wanachadema wamewachangia milioni 10, na 15 mbebaji na mbebwaji respectively! Haya matendo makuu yanafanywa na...
7 Reactions
2 Replies
144 Views
Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima...
8 Reactions
16 Replies
480 Views
Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu. Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa...
28 Reactions
93 Replies
3K Views
Ukikaa na watu walioshuhudia tukio ghasia za kuukataa utawala wa rais Samia ile Oktoba 29 mpaka Oktoba 31 utapata picha kamili kuwa watu wahataki kutawaliwa na huu utawala. Watu wameshuhudia...
4 Reactions
17 Replies
313 Views
Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege. Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni...
8 Reactions
33 Replies
959 Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Bunju, ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji DAWASA kutoa bili zenye uhalisia kutokana na watu kukosa maji. Pia soma > GE2025 - Mamlaka za maji...
0 Reactions
7 Replies
239 Views
Nimekuwa nikifuatilia kauli za viongozi wetu hivi karibuni, hususan hotuba ya Waziri Mkuu ya leo (29 Disemba 2025) kule Bunju. Kuna narrative mpya inayojengwa kwamba kulikuwa na mpango wa kuzuia...
2 Reactions
2 Replies
172 Views
Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini. Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha . Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa. Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Wanachotaka nini? Tukae kimya? Tusijadili masuala ya taifa letu? Waibe mali za umma, wateke watu , wajipe vyeo wao na familia zao huku sisi tukiwa kimya? Basi wawaue wote wanaokosoa wabaki wao...
8 Reactions
42 Replies
656 Views
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au...
1 Reactions
3 Replies
201 Views
Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests. Recent deadly violence...
9 Reactions
31 Replies
783 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…