"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu...
Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema...
Hivi kuna namna tunaweza tukawa tunajiridhisha na hizi statistics zinazotolewa na hivi vyama vya siasa?
Yaani hapa tunapigwa mchana kweupe! Nani na akili zake timamu aache CCM, CHADEMA au ACT...
Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria...
My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa...
Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mndolwa amewahimiza Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu, na kusema nchi inaweza kuingia katika...
Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.
Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki...
Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi.
Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni.
Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea kupitia Wasafi FM ameeleza kuwa kuna watu ndani ya CHADEMA mpaka leo hawaamini kama Tundu Lissu ni Mwenyekiti wa Chama na madhara ya kuto kubali...
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia...
Taasisi ya Taifa Letu, Kesho Yetu (TK) Movement Mkoa Kagera imesema haitakubaliana wala haitamsikiliza mtu yeyote mwenye kuja na kauli za kuwapotosha wananchi kuwa wasishiriki Uchaguzi Mkuu...
Wakuu,
Taasisi ya Mwanamke na Uongozi kwa kushirikiana na wadau wengine akiwemo NHC wafanya kongamano la 'Nasimama na Mama' mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani, kama...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje amesema safari ya siasa kama maisha ya mwanadamu akibainisha kuwa kuna wakati kwenye maisha unapita kwenye mawimba na kwamba chadema wako...
Viongozi 50 wa majimbo, wilaya na kata wa chama cha NCCR Mageuzi mkoa wa Shinyanga wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku wakiweka wazi sababu zilizowahamisha.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.