Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makada wa ACT-Wazalendo Kigoma Mjini waliojitambulisha kama wapiga kura wa Jimbo hilo Hamisi Mwitu, Johari Ali Kaburu, Luma Hamisi Akilimali na Pendo Kombolela wamezungumza na vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara...
3 Reactions
3 Replies
294 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
1 Reactions
25 Replies
629 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera Faris Buruhan amesema kauli yake aliyoitoa katikati ya mwezi Aprili mwaka 2024 ‘Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia...
6 Reactions
13 Replies
603 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu. "Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Damu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!! Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda! Kuna...
6 Reactions
18 Replies
675 Views
Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9. Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume...
5 Reactions
22 Replies
584 Views
GT Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers. Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya...
7 Reactions
14 Replies
535 Views
Mwigulu amesikika akisema kuwa yeye hana biashara yoyote, hana hata Noah ya biashara! Kama hana biashara yoyote, basi kwa vyovyote atakuwa mwizi mkubwa! Aueleze umma, kama hana kitega uchumi...
9 Reactions
13 Replies
734 Views
Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.
18 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu, Haya mambo tunggeambiwa kwamba yatatokea Tanzania miaka miwili nyuma basi tungebisha Ila hapa ndo tumefika kama taifa Huyu binti anaitwa Dainess Raphael alikuwa ni fundi cherehani ambapo...
3 Reactions
17 Replies
607 Views
Friends and Our Enemies hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma...
4 Reactions
98 Replies
2K Views
Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura amesema miongoni mwa changamoto watakazokutana nazo wahitimu wapya wa mafunzo ya awali ya Polisi ni pamoja na matishio ya ugaidi wa dunia, uwepo wa...
1 Reactions
8 Replies
476 Views
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭 Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa...
2 Reactions
17 Replies
738 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania. je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya...
4 Reactions
6 Replies
720 Views
Back
Top Bottom