Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Jumapili ya tarehe 11 Mei 2025 alishiriki ibada katika Kanisa la Anglican Kabanga ambapo alitoa Sadaka ya Shilingi Milioni Mbili (2,000,000)...
Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa...
Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha...
Ukweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa...
Wakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba...
Wakuu,
Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya...
Wakuu hata msiwaze Wala kuumiza Kichwa , na Ninaomba CHADEMA Msitafute kupoteza muda na huyo Mwendawazimu.
Ipo hivi , Msajili na Jeshi la Polisi na Usalama mbumbumbu ambao Sasa wametapakaa...
Wakuu!
Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali...
Kuna kikao cha siri kilikaa kati ya nyumba ya kulea vyama, wataalam wa siasa na rohoo mbaya kutoka chama kubwa pamoja na washahuri wa Boss.
Agenda kubwa ni kukifunga miguu na mikono CHADEMA miezi...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025...
Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi"...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Nimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni...
Samia anaharakisha na kulazimisha uchaguzi ufanyike bila mabadiliko ltapelekea nchi kwenye machafuko.
Hatuwezi kuingia kwenye uchaguzi vile wewe mtu mmoja unataka uwe bali lazima kuwe na...
Kumekuwa na mtindo mara mbunge wa pale kachukuliwa fomu mara wa kule amechangiwa na wanachi. Ni kwamba wananchi wanakuwa wana mapenzi sana na wabunge wa hayo maeneo, au wabunge hao wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.