PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,354
Reaction score
18,629
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.

Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa ni wafuatao:
  1. Ntele Benjamin – Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani
  2. Ernest Mgawe – Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba
  3. Jerome Olomi – Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Ilala
  4. Mwanachama mwingine ambaye jina lake halikutajwa mara moja
Kwa mujibu wa CHADEMA, tukio hilo limetokea wakati wa juhudi za kumdhamini Golugwa, ambaye alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa. Hadi sasa haijafahamika sababu rasmi ya kukamatwa kwa viongozi hao.
IMG_4832.jpeg
 
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wadai wadhamini wao kukamatwa wameandika...

Wadhamini waliofika kituo cha Polisi Kati kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituo hapo.

Wadhamini Waliokamatwa ni;

1. Ntele Benjamin - Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani

2. Ernest Mgawe - Mwenyekiti wa Chadema wilaya Kibamba

Wengine walikamatwa ni

1. Jerome Olomi - Katibu Mkoa wa Kichama wa Ilala

2. Mwanachama mwingine

Hivyo waliokamatwa ni wanne.
Dah!!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.

Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa ni wafuatao:
  1. Ntele Benjamin – Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani
  2. Ernest Mgawe – Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba
  3. Jerome Olomi – Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Ilala
  4. Mwanachama mwingine ambaye jina lake halikutajwa mara moja
Kwa mujibu wa CHADEMA, tukio hilo limetokea wakati wa juhudi za kumdhamini Golugwa, ambaye alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa. Hadi sasa haijafahamika sababu rasmi ya kukamatwa kwa viongozi hao.View attachment 3332816
Police tz ,Mungu yupo kazini endelea tu mtajua hamjui
 
Back
Top Bottom