Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani...
Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi kwamba usalama wao utakuwa wa kimsingi katika sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa...
Wakuu,
Script ni ile ile yaani, serikali ikivurunda badala ya kutafuta njia ya kutatua tatizo yenyewe ndio kwanza inamwagia Petroli kwenye moto!
Bado Tanzania wana machungu juu ya kilichotokea...
Wakuu,
Yaani akisimama nchale akikaa nchale, hakuna kupumbua, ni mwendo wa kula mabanzi back to back mpaka kieleweke!
Ila haya yote ameyataka mwenyewe, kila kitu ameshauriwa lakini wapiii, sikio...
Wakuu,
Tumekuwa na mijadala na taarifa mbalimbali hapa JF na mitandao mingine kuhusu hatima ya ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU). Ili kuweka mambo sawa, Wizara ya Mambo ya Nje...
Wakuu,
Tulijua Balile umeshanunuliwa ila hii ni moto wa kuotea mbali, mbali na kutusaliti sisi umejisaliti hadi wewe mwenyewe, yaani unasaliti hata kile ulichoamua kukisimamia na kukipigania...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani...
Mchungaji Godfrey Malisa amesema; "Bado tuna safari ndefu sana. Demokrasia ya Tanzania inatakiwa kuendelea kuipigania, bado sana. Bado kuna safari ndefu. Kwa sababu kuna wanaotaka demokrasia na...
Wanabodi
Angalizo
Kwa vile mimi mwenzenu humu, na niliisha wahi kuuliza kitu kwa kuandika, kitu hicho, kikaniletea matatizo nikaitwa hadi Bungeni Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwanini...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili
Utangulizi,
Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amedai kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ametumwa kutengeneza propaganda za uongo...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja akiapa kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Halmashauri ya Jiji la Arusha leo, Desemba 4, 2025.
Akiongea hivi punde kupitia Podcast ya 'Royal" mwandishi nguli wa habari nchini Tanzania Pascal Mayalla, kasema watu waliouliwa Oktoba 29 kama walikuwa wanaandamana, waliuliwa kwa sababu vyombo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje...
Wanabodi,
Hii ni mada ya kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu kilichotokea Oct. 29, media ya Tanzania, hatukutimiza wajibu wetu kikamilifu kwasababu anuwai!, ila pamoja na kutotimiza wajibu wetu...
Salaam Wakuu,
Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake.
Bado...
Wakuu,
Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania...
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania...
Said Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.