Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ukisikiliza maelezo ya Lusinde kati ya 2:15 na 2:50 (video ya kwanza); na swali la Ester kati ya 3:28 na 5:41; na Silinde kati ya 10:02 na 11:23 wakati wa uchaguzi wa naibu spika (video ya pili)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Sasa kila mmoja anaweza amini kwamba huu unafiki wa waandishi ndio unaolilidimiza taifa,hivi kweli maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari ndio yanayotugusa wananchi wa chini?mana imesekana...
0 Reactions
Replies
Views
Nasema hivi kwa sababu:- Kila kikifika kipindi cha bunge kuanza vikao vya kupitisha sheria au jambo lenye kuwaumiza wengi na kuwafurahisha wachache vyombo vileeeee huibuka na kamatakamata ya...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
  • Redirect
Nimeona wanaCCM wengi wakiwa wameghafilishwa na kauli za Bashe bungeni, wengi wamechukia maana Bashe aliutumia uhuru wake ipasavyo ktk kuikosoa serikali, kuidhihaki na hata kuidhalilisha...
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kasema Mkoa wa DAR ES SALAAM utagharimia masomo ya wanafunzi wa mkoa wa dar es salaam watakaofaulu form four na kuchaguliwa kusoma masomo ya sayansi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Leo muheshimiwa rais ana mkutano na waandishi wa habari juu ya mwaka mmoja wa uongozi wake ambapo wahariri na viongozi mbali mbali wa vyombo vya habari walipata fursa ya kuuliza maswali Lakini...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali imetoa kauli juu ya ziara ya Mfalme wa Morocco, inayoonyesha kwamba leo hii, ingekuwa kwamba huko Afrika Kusini bado Serikali ya kibaguzi ya Makaburu inatawala kimabavu na kunyanyasa watu...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
  • Redirect
Hivi hawa waandishi wanashindwa kuuliza swali la ajira?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwenye mkutano wa rais na waandishi wa Habari namuona Makonda ametulia pale mbele. Najiuliza tu kama naye ni Mwandishi wa Habari na kama jibu ni hapana tujuzane anafanya nn.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Shida haona ngoja ngoja.....ooohhh shida....unalia hauna pesa ....ohhh shida. nadhani wimbo huu ulipigwa na mbaraka mwishehe. Kuna ujumbe wa kisiasa ndani ya huo wimbo? Tunajua watanzania wengi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo mkuu wa nchi anazungumza, ungependa kusikia anazungumzia mambo yapi. 1. Elimu, mikopo ya elimu ya juu. 2.Je, Atazungumza kuhusu Ajira mpya. 3.Atazungumza kupandisha watumishi madaraja...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Huku sisi bado tunalala nje, Kule wanahongana M10!? Ufafanuzi Ni muhimu, vinginevyo tutaendelea kuamini fikra zetu kuwa Rais ameamua kutubagua waziwazi na kwamba pesa walizoongana CCM zimemegwa...
1 Reactions
Replies
Views
Namna Mwananchi walivyoripoti habari ya wabunge wa CCM kutuhumiwa kuhongwa imeniacha na maswali ila the Citizen ndio kabisa habari hii wala hawajaiandika. Mwananchi heading inasomeka: "Mbowe...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
  • Redirect
Kama bunge tumenyimwa kuliangalia live je, hutuba ya Mh Raisi tuta onyeshwa live? Nakama itakua live serikali yngu inaogopa garama hii garama italipwa na nanani? Napenda sana serikali yngu kwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tuache kujadili watu tuijadili hii Hoja, Je ni kweli swali la mbowe kuhusu Rushwa kwa viongozi wa Umma kupewa Zawadi sio Sera ya Bunge wala Serikali hii awamu ya Tano?? Kwa mjibu wa naibu spika...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo kutakua na TV show mida ya saa nne asubuhi Panya wakimsemesha huyu Paka mkali asiyejaribiwa ambaye kamtafuna mwenzao tena mbele yao. Cast ---------------------- Prezidendi Journalists
1 Reactions
Replies
Views
Ilikuwa ni kawaida kwa magazeti ya CHADEMA na wanasiasa wa CHADEMA kutaja jina la Rostam Aziz kulihusisha na ufisadi wa kutisha wa nchi hii. Kinachotia shaka tangia kipindi cha uchaguzi uliopita...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Kwa massm hayapendi ukweli ?? kukataa ukweli ndo kunaitafuna CCM....tahadhari tu,sio uhochezi
0 Reactions
6 Replies
966 Views
Nawaomba wale waandishi wa habari wote watakaopata nafasi ya kuuliza maswali kwa raisi Magufuli waulize kuhusu umiliki wa kisiwa cha fungi Mbaraka #Lutham island. na je raisi Magufuli anamini vipi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nafuatilia maoni ya wabunge na mjadala wa leo asubuhi kupitia star tv ambapo wengi wanasema mzunguko wa fedha umedorora kutokana na serikali kuondoa pesa zake kutoka mabenki na kuziweka benki kuu...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Back
Top Bottom