Wale wa PhD zenu mpaka leo hamjajua kwamba hata 'AMANI ni miongoni mwa haki za RAIA?
Somo la uraia mmesoma sana kuanzia chekechea mpaka form 6
🫴 Miongoni mwa haki za kwanza za raia ni...
Uchunguzi wa CNN kuhusu mauaji yaliyotokea Tanzania wakati wa Uchaguzi umekamilika na utaachiwa rasmi duniani kote Novemba 21, 2025.
Safari hii serikali dhalimu haina pa kujificha. CCM na machawa...
Labda nianze kuuliza kimombo, "Have you ever thought that you will witness someone who is killing people very passionately and proudly, like it is something he was always dreaming of and it is now...
Washtakiwa 18 wa makosa ya uhaini yaliyotokana na vurugu za Oktoba 29, 2025 wamerejeshwa rumande kusubiri tarehe iliyopangwa kurudi tena mahakamani hapo kuendelea na kesi hizo.
Jumla ya...
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu...
Ndugu jamaa na marafiki wamefurika nje ya viunga vya mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam Tanzania wakiwasubiri ndugu zao wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini kutokana na machafuko...
CNN masaa machache yaliyopita imetoa taarifa ndefu ya kiuchunguzi kuthibitisha mauaji makubwa yaliyofanywa na utawala wa Samia kufuatia maandamano yaliyosababishwa na udhulumaji haki. Taarifa hiyo...
Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa...
Wakuu
Huu hapa ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gerezani
"Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo.
Alikuwa Mwenyekiti wa...
Mwingulu amekua kama katibu mwenezi wa chama yeye mda wote yuko propaganda ambazo kwa karne hii hazina tija
Watu wanataka ukomeshwaji wa vitendo utekaji, mauaji, Tume huru ya Uchaguzi katiba mpya...
Vitu vilivyochomwa vilivyoainishwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni pamoja na
1. Ofisi za Serikali 756
2. Vituo vya mwendokasi 26
3. Vituo vya Polisi 159
4. Vituo vya mafuta 672
5. Magari Binafsi...
Katika hali ya sasa, ni muhimu kwa viongozi wote wa CCM, kuanzia ngazi ya chini hadi juu, kuelewa muktadha wa hali ya sasa haujawai kutokea tangu uhuru. katika kipindi hiki Influence ya chama...
Akizungumza katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 25, 2025, Waziri Mkuu...
Watanzania wa mwaka 1961 wakati tunapata uhuru sio wa leo hii.
Hawadanganyiki kwa hoja za kitoto kama hizo.
Kila kona mpaka sasa hivi wanalalamika kuwa hii nchi ni mali ya familia ya Kikwete ...
Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu...
Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili.
Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi...
Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.