DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
"Ndani ya siku 11 tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari