JAMES Mbowe, aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), achutama, ajutia uamuzi wake wa kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema vyombo vya habari vya nje havikufuata utaratibu wakati wa kuripoti matukio ya Oktoba 29 nchini.
Majibu ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania (JAB), Patrick Kipangula kuhusu Vyombo vya Habari kurusha matukio ya Oktoba 29, 2025.
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji bali wale ambao hawakuwa na vigezo pekee.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam...
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.
Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi.
Mkutano huo umefanyika katika...
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekanusha madai ya Padri wa Kanisa Katoliki Dk Charles Kitima kuhusishwa na siasa za chama hicho kikieleza kwamba si mwanachama wa chama hicho na wala...
Nchi hii haina viongozi wenye vision waliopo wanaongoza kwa kutengeneza matukio ili kujaribu kuwasahaulisha wananchi yaliyotokea MO29.
Tusubiri leo Mwigulu atakuja na igizo gani, amesahau wahanga...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hapa nchini Tanzania hakuna mwenye amani; si waliochaguliwa, si...
"Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera...
Wadau mbalimbali wakichangia maoni yao katika kongamano kubwa la waamachinga na bodaboda nchi nzima linalofanyika jijini Dar es salaam likiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa...
https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ
Tutaelewana tu
Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura...
Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan...
Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa
Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika...