Tanzania imetuma malalamiko kwa Bunge la Ulaya kuhusu mpango wa kufanya kikao cha kujadili mada inayohusu mauaji ya baada ya uchaguzi, kuzorota kwa haki za binadamu nchini, pamoja na kesi...
Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?
Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa.
Move on!
Kama kichwa kinavyojieleza nashauri kwa sababu tunaelekea kufunga mkanda kutokana na yaliyotokea nashauri tubane matumizi na tuongeze wigo wa kulipa kodi
1. Wabunge wote wakatwe Payeee asilimia...
KUNA MAMBO YAKIPOTEA HAYAWEZI KUREJESHWA.
“KWANINI SAFARI HII HALIPO TENA GOLI LA MAMA WALA SIMU YAKE?”
Naanza na kuwauliza washabiki wa Simba na Yanga, imekuwaje safari hii kusiweko tena simu...
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu Nchemba amehoji pesa za kuwakusanya vijana na kuwandamanisha zilitoka wapi? Na amewaasa vijana kuipenda nchi yao maana ni mali ya wote na ina utajiri wa kutosha, Tanzania...
Mwateka watu kama digidigi. Mwatesa na kuua watu. Mmejipa umungu sio. Heheee! Siye tutawaabudu mchekelee heheee. Mayii!
Wachoma pasi watu, wabaka watu, mwaua watu. Nye ni watabe Nye.
Mabingwa...
Hawa ndio wanahujumu maendeleo, wengi wao ni bora liende. Hawana exposure, hawana confidence wala hawawezi kuchakakata data za maendeleo katika maeneo yao. Wanatumika kwenye wizi wa kura na...
Waandamanaji na Chama cha upinzani wana uwawa sio kwasababu ni wahaini au wamechoma vitu kwasababu walitaka Samia aondoke madarakani.
Lissu yupo gerezani kwasababu samia asisumbuliwe, watu...
Nimesikia Fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe za uhuru zimeelekezwa kutumika kukarabati miundombinu iliyoharibiwa. Swali langu, Je fedha hizo zitaweza kurejesha uhai wa wale...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameanza ziara yake ya kwanza kwa kusikiliza kero na changamoto za Vijana Wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga), bodaboda na bajaji...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amejiuzulu nafasi ya makamu mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).
Machumu amekabidhi barua ya kujiuzulu kwake kwa Mwenyekiti wa...
Tukisema judiciary is 100,000,000% compromised mnasema tunawasema vibaya!
Katika hali ya kawaida, kesi hii ilibidi iwe imeisha
Mtu akisema with certainity kuwa you are operating under instructions...
Sehemu ya mahubiri ya Mchungaji Dr.John Chege Wanjohi (PhD), kutoka nchini Kenya ambaye pia ni Balozi wa Amani wa Umoja wa Mataifa. Nimeweka tafsiri isiyo rasmi;
"Mmeona ripoti ya Larry Madowo na...
“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua...
leo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, kulifungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, ambalo lilikuwa...
Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi...
Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025.
Shauri lililokuwa linawakabili watuhumiwa hao leo lilikuwa linaendelea katika Mahakama...
Tukianza na wale wa 2007 wa Kenya mpaka wakina Ojwang na sasa tuna wabongo walioingia kwenye mkumbuko, wote wameshasahaulika, wote waliokua wanawasukuma kuandamana tupo nao bado huku online wakina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.