Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia. Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA...
11 Reactions
108 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla amesema kwamba ccm haitegemei Kubebwa, haina haja ya kuteka watu na kuwatupa maporini ili kupata ushindi Na kwamba kauli za aliyekuwa DC wa...
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU&...
43 Reactions
567 Replies
31K Views
Salaam, Shalom. Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na...
17 Reactions
362 Replies
41K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm Hivi kweli mpaka Leo ccm...
36 Reactions
74 Replies
3K Views
Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini...
18 Reactions
58 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993...
29 Reactions
2K Replies
166K Views
Wakuu, Jawabu la swali kuhusu mwafaka kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, limeanza kutafutwa baada...
13 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama. Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu...
30 Reactions
161 Replies
9K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" ...
11 Reactions
79 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi. TAARIFA KUTOKA CHADEMA BreakingNews...
7 Reactions
147 Replies
9K Views
Wanaukumbi. KUONGEA KUHUSU NINI? Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo...
14 Reactions
223 Replies
12K Views
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao...
59 Reactions
524 Replies
21K Views
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mungu akimshukia Mama akamuonyesha 5 tena vile itakuwa ataomba kushuka. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
18 Reactions
116 Replies
7K Views
Back
Top Bottom