Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni vyema Mahakama ikakubali kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
  • Redirect
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
"Sasa kwa wale "Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja, amani ikichafuka haichagui" Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es...
6 Reactions
70 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha...
0 Reactions
20 Replies
705 Views
Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia...
9 Reactions
15 Replies
506 Views
Salaam! Nimelazimika kutoa ushauri huu ambao unaweza kuonekana kama ni kuharibu kazi za wahusika wa kufanya usafi Katika nyumba ya ndugu Chuma. Haiwezekani mlipwe pesa nyingi kwa vyeti na...
2 Reactions
21 Replies
694 Views
Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA. Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu. Unfortunately hata ukiuliza kwa member na...
0 Reactions
9 Replies
220 Views
Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua...
1 Reactions
5 Replies
301 Views
Toka enzi za kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi kumekuwa na utaratibu wa kupokezana vijiti kwa kuangalia pia dini ya mgombea mfano: akitoka mkristo anaingia muislam na kigezo cha pili ndiyo watu...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
DeletedMember281674
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande...
5 Reactions
15 Replies
913 Views
Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi. Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪. unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa ...
0 Reactions
3 Replies
205 Views
https://youtu.be/tDVpmZ0SUe0?si=vTrRwFzHt2jxBNwL Hatimaye mshiriki wa usaliti kwa CHADEMA kwa mlango wa nyuma kujihusisha na kinachoitwa maridhiano ajulikana. Ni Odero, mgombea uenyekiti wa...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
1 Reactions
2 Replies
143 Views
Ijumaa Kareem! 1. Mara nyingi watu waovu hutumia maandiko kupotosha Jambo Fulani au kuhalalisha uovu Fulani. 2. Sio Kila mamlaka inatoka kwa Mungu. 3. Zipo Mamlaka za kihalifu ambazo chimbuko...
4 Reactions
6 Replies
235 Views
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameamua kuweka wazi mambo ya siri ya Kangi Lugola baada ya kutumbuliwa. IGP Sirro alikuwa akiripoti kila siku juu ya tabia yake ya kuwatukana Polisi...
5 Reactions
69 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…