Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwananchi anasema Tanganyika Kumbuka Mtanganyika haruhusiwi hata kumili ardhi Zanzibar:confused:😕
3 Reactions
14 Replies
537 Views
Wameanza kutengeneza njia za maridhiano, ila cheko la Padri Charles Kitima linakitu sana ndani yake =============== Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Yani nilishangaa kikosi cha zimamoto na trafiki wanashika bunduki kipindi cha mo29.Hapo mshapata picha kuwa idara nyingi ni lugha gongana kwa sasa. Majuku ya idara sio kuwa sehemu ya eneo naweza...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
PM - Waziri mkuu ndio dila ya serikali, ndie anasimamia shughuli zote za serikali. Tunachokiona huku uraiani ni kwamba, kuchomwa moto kwa Ester kumemvuruga sana, Japo yeye ameyakana PM...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Kazi maalumu walizofanya ni hizi baada ya watu kuambiawa wake ndani. 1. KUPIGA RISASI ZA VICHWA WATANZANIA. 2. KUCHUKUA WAGONJWA WOTE WA RISASI WALIOKUWA WAKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI NA...
5 Reactions
12 Replies
410 Views
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali iytatumia nguvu na jitihada yoyote ile...
1 Reactions
38 Replies
913 Views
Script hizi yani mpaka sasa kuna mtanzania anakusemea kuwa unachama cha utanzania acha cha boda boda,vyama pinzani na vengine. Ile script ambayo kiliitsha vyombo vya habari kuwa chama kidini leo...
0 Reactions
11 Replies
237 Views
Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi. Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu...
1 Reactions
2 Replies
278 Views
Serikali imetenga Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mawenzi, hatua inayolenga kuboresha huduma na kuondoa changamoto ya...
0 Reactions
4 Replies
251 Views
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amevitaka vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) nchini kurejesha kozi za muda mfupi za kilimo na ufugaji zilizokuwa zimesitishwa, ili...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Naona mnataka kuleta propaganda uchwara hapa kuwa eti anapingwa sababu ya dini yake. Na tatizo ni Wakatoliki na akina Gwajima. Nyie mnaunga mkono ufisadi? Mnaunga mkono utekaji? Mnaunga mkono...
1 Reactions
1 Replies
151 Views
Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi. Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri...
3 Reactions
5 Replies
185 Views
Mimi simtambui raisi maana kituo changu kilichomwa moto na maboksi nimeona ila nashangaa diwani wa ccm kushinda kwa kura 9000 wakati eneo ilo hata hiyo idadi hakuna. Kama mtakuwa na kumbukumbu...
3 Reactions
3 Replies
228 Views
Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome. Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote...
0 Reactions
2 Replies
260 Views
CDF wa jeshi ni kitu kikubwa sana ila kwa kilichotokea Mo29 hata uwezo wako umefanya kuwa ni mgambo pro max. Kwa mauaji yale na uchaguzi ambao hata kudanganya wakapitiliza kabisa na yote bado...
2 Reactions
10 Replies
378 Views
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
2 Reactions
6 Replies
168 Views
Ni wazi viongozi wa Tanzania wanajiamini kupindukia na wanajiona wako sahihi kujilimbikizia mali kwa kuwaibia waTanzania hadi kuwauwa. Ni vyema sasa wananchi kutumia mbinu ya kuharibu mfumo wao...
1 Reactions
4 Replies
203 Views
Mauaji bado yanaendelea na utekaji unaendelea japo hatujuani humu ila rais anazidi kujilinda. Sehemu yenye ulinzi mkali ukiona ujue wamezikwa watu na mpaka sasa ICC imezuiwa kuingia TZ ipo...
3 Reactions
5 Replies
316 Views
Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha...
18 Reactions
33 Replies
755 Views
Back
Top Bottom