Nimeangalia picha na video za Kikao cha Mwisho cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo Ikulu cha Chamwino, Dodoma. Picha na video hizo zipo ukurasa rasmi wa Ofisi ya Rais Ikulu IG.
Niseme tu...
Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada...
Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa...
Salaam!
Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile?
Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu...
Kuthibitisha hilo,
fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua...
Jana, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye...
Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu?
Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama...
EID MUBARAK
Naungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri.
Tuyaishi na...
Rais Samia akishiriki Baraza la Eid el-Fitr Machi 21, 2026 ukumbinwa JNICC, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/_XXQIxKOIfM?is=RI-9209DrxuM140a
Updates...
Wakati akizungumza katika Baraza...
Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai
CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
Sisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani...
Na Kwa kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa mpenda haki aliweka urqfiki mkubwa na Iran kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilo Hadi mafunzo ya kijeshi.
Nyerere aliungana na Iran kutetea Palestine na...
Introduction
The 18th of March 2026 will undoubtedly be remembered as a landmark day in Tanzania’s fiscal and economic history. On this day, the Presidential Commission on Tax Reforms presented...
Wanajishughulisha na nini kwa sasa baada ya kuachana na masuala ya kisiasa na kua kituo cha mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu?
Na je,
shughuli zao hizo za...
Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026
https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6
Rais wa Uganda...