Wakuu,
Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
======
Tumeongozwa na Rais Samia...
Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni...
Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha.
Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka...
"Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa, kila mwanachama ndani ya chama chetu ana haki sawa na...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Oktoba 10.2024, Dar es Salaam amesema kuwa mawakala wanalazimishwa kufika kwenye ofisi za Halmashauri husika ili...
Ndugu zangu Watanzania,
Huwezi kuzuia Upendo wa watu kwa CCM,huwezi kuzuia mahaba waliyonayo watanzania kwa CCM,huwezi kuficha hisia za upendo walizonazo watanzania kwa CCM.hiki chama kinapendwa...
Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa!
===...
MAPUNGUFU MAKUBWA UANDIKISHAJI WAPIGAKURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana...
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo...
Hata kwa Usimamizi huu huu mbovu (Japo siufagilii), Chadema inaweza kuibuka na ushindi wa kishindo ikiwa Wananchi wataamua kukataa dhuluma.
Wakati wa Kikwete ambaye alikuwa Rais, Amiri Jeshi na...
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) Anayetokea Kundi la Vijana Zanzibar, Mhe. Amina Ali Mzee ametembelea vituo mbalimbali vya Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar vinavyoandikisha wananchi katika...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika...
Unaweza shikwa hasira kwa mbinu zilezile zitumikazo kuwahadaa wananchi ila kila ukikumhuka wananchi wanadanganyika kama watoto wadogo kwa greda moja linalopita kwenye barabara za mitaani kiba...
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya...
Wawakilishi wa AZAKI pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) leo, Jumatano Oktoba 8.2024 wametembelea ofisi za makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zilizopo Mikocheni...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya...
Kwema Wakuu!
Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)…
Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia...
SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,amewataka wanawake katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wajiandikishe,wagombee nafasi za uongozi na kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.