Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,203
- 40,170
Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?