MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
ILANI: 2020-2025
TAARIFA ZA MAFANIKIO
*Taarifa za miradi inayotekelezwa kwa kila Mwaka wa Fedha zinatolewa...
Wakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili...
JUMLA YA SHILINGI BILIONI 98 ZIMELETWA WILAYA YA BIHARAMULO KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA MIAKA 04 YA UONGOZI DKT SAMIA SULUHU HASSAN.
Na S.L.T
Waziri wa Sheria na...
Wakuu!
Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu
Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia...
Wakuu,
Mwananchi wamevujisha majina ya baadhi ya makada ambao wameonekana kwenye mkutano wa kamati kuu na Halmashauri Kuu.
Baadhi ya wanachama waliokuwa CHADEMA waliokuwepo kwenye kikao hicho ni...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiongea na wananchi wa Dar es Salaam katika Hagla ya uzinduzi wa soko la Nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti...
Mda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi?
Ile kauli ya kusema kua "kama washaharibu Nchi kwao wasije Nchini kwetu kutuharibia pia"
Inaonyesha Ubinafsi wa hali ya juu sana na...
Na Mwandishi Wetu – Songea
Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa...
Muda si mrefu na ban za safari zitakuja, mama yupo zake kimya, kama vile haya mambo hayamhusu, ndio kwanza anafurahia kutegenezewa program za uchawa! Mambo yanaenda kuwa magumu kwetu Trump effect...
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Gwiji wa Utangazaji na Mawasiliano kwa Umma, Baruan Muhuza amefunguka juu ya taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu yeye kuwania...
Wakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini? :BearLaugh: :KEKLaugh::KEKLaugh: majirani wanajua kutusuta😂.
Ila tukisema...
Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi...
Mimi ni mmoja ambao sijafurahishwa na namna raia wa Kenya na Uganda walivyobagazwa na kutwezwa utu wao na mamlaka za Tanzania.
Kitendo cha viongozi wakubwa wa Kenya na Uganda kuwa kimya muda huu...
Wakuu,
Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba?
Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its...
Wakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua...
Wakuu,
Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu.
Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa.
Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali...
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.