Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mayii! Najuzwa hapa walahi naogopa. Kumbe mercenary wajuacho ni mapene. Woyi. Na bado. Tuimbe siye mwamba mwamba mwamba mwamba yesu ndiye Mwamba. Hehehee wakolontho 13 mpaka 10 yasemaje nye. Bado...
2 Reactions
4 Replies
252 Views
https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=UfxyEouEVGPktzNi
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa...
15 Reactions
39 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la Utalii wa Safari Duniani (World’s Leading Safari Destination)...
2 Reactions
34 Replies
674 Views
  • Redirect
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na...
0 Reactions
Replies
Views
Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi. HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU. Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani...
4 Reactions
1 Replies
208 Views
Wakuu tunaendelea na mjadala wetu juu ya wanaojiita wakatoliki 120 ambao binafsi nawaita wakatoliki 'Feki' yaani wa maji ya jioni na watu wasiojitambua na waliofanya mchezo wa kitoto dhidi ya...
3 Reactions
12 Replies
466 Views
Hamjambo wote! 1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato. 2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa...
30 Reactions
42 Replies
985 Views
Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa. Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi...
5 Reactions
13 Replies
356 Views
Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rais Boniface Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter juu ya maandamano ya waliojiita Wakatoliki walioenda Ubalozi wa Vatican...
3 Reactions
5 Replies
389 Views
GT. Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele. Tusipokuwa makini mtachezewa...
3 Reactions
3 Replies
183 Views
Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza siku ya Jumanne Januari 13 hadi ljumaa ya Januari 23, 2026 katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Hivyo wanapaswa...
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Hata nikiwekewa kisu na bastola za Police CCM kutaka kuniuwa, bado nitasimamia ukweli wangu kwamba, siitaki ccm maisha yangu yote yaliyobaki CCM wamekataliwa duniani na sasa ni Mungu kuudhirisha...
3 Reactions
3 Replies
161 Views
Tungekuwa na strong National intelligence kama USA au UK, Samia hasingekalia icho kiti,, SSH amegeuka kuwa adui wa taifa, amelitia aibu taifa, amelivuruga,amelibananga, amelitindinganya taifa...
10 Reactions
13 Replies
363 Views
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
2 Reactions
7 Replies
504 Views
  • Redirect
Wakristo na Waislamu wema wanaojitambua, Haya so called maandano ya jana, ni ushenzi mkubwa. Ni udini wa kiliangamiza taifa! Hawa ni wa dini ileeeee! Ni wachache wao na si wote. Tuwe na umoja...
2 Reactions
Replies
Views
Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka...
9 Reactions
109 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…