Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana...
Hili ndilo swali linalobeba kiini cha wasiwasi wa wengi kuhusu hatima ya mapendekezo ya Tume. Suala si kutolewa kwa ripoti pekee, bali ni nani atasimamia utekelezaji wake endapo mapendekezo...
This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle...
Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Naungana Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Padre Dkt. Charles Kitima amesema "Ukosefu wa Fikra yakinifu kwa vijana ni hatari, Kijana unakuwa mpambe wa mtu ambaye hana maono ya kiuchumi."...
Hatimaye, Profesa Ibrahim Lipumba amekubali kung'olewa katika wadhifa wa uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), huku akiacha maagizo matano kwa mwenyekiti mpya, Mirambo Yusuf, likiwemo kuhakikisha...
Bei ya mafuta duniani imeripotiwa kupanda kufuatia tahadhari kali kutoka Iran dhidi ya uwezekano wa uvamizi wa kijeshi wa ardhini kutoka Marekani, licha ya Rais Donald Trump kusema kuwa mazungumzo...
Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29.
Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV.
Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa...
Ukifuatilia ziara ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ya hivi karibuni; utabaini kuwa kuna mamia kwa maelfu ya wananchi hujitokeza kwenye mikutano yake wakiwa na mabango, mafaili, nyaraka za...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa ni Makamu Mwenyekiti Wa Umoja Wa Afrika. Hivyo kutokana na Umahiri wake wa kiuongozi,Akili kubwa, Maono Makubwa , Ushawishi wake ,Ujenzi wa hoja...
Nyota ya Rais Samia inazidi kuiwakia Tanzania.
Tanzania imechaguliwa kuwa Nchi ya 5 katika Bara la Africa Kwa Utalii wa Mikutano,Makongamano na Maonesho Kwa mwaka 2022 ikitoka kuwa namba 15 awamu...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo
Hakuna Ubaya Wowote Kwa Mtanzania Yeyote Kuwa na Ndoto ya Kuwa Rais wa JMT!, Msiwatishe Bure Wenye Ndoto Hizo!.
Leo naomba...
Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa".
Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke...
Imebidi niwambie ukweli acheni ushabiki mkiwa kazini. Jana mlionyesha wazi kuwa kuegemea upande wa CCM-nyinyi ni wanachama/wapenzi wa CCM.
Masako ulipoanza tu kutangaza matokeo ya awali wakati...
Salaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Wakuu,
Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala
"CCM tuna matatizo kweli ya...
Huko CCM nikadhani uchawa ni kwa mwenyekiti wao tu kumbe hadi wabunge sasa hivi wanafanyiwa uchawa?
Madiwani mmekuwaje lakini?
========================================
Diwani kata ya Zingiziwa...
Wakuu,
Akiwa kwenye kile kipindi cha Cafe Talk, Silaa amesema kwamba kutokana na kufungiwa kwa X Tanzania, Serikali ime-discourage taasisi zake kutumia mtandao wa X ili kuendana na katazo hilo...
Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango, amesema atamkumbuka marehemu William Lukuvi kama kiongozi mwema na mshauri wa kweli huku akikumbushia kauli yake pindi hali ipokuwa ngumu yeye akiwa...