Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa
Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika...
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa...
Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;
1. Kiuchumi
2. Kijamii
3. Kisiasa
Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni...
Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke.
Katika...
Kupitia Ukurusa wake wa X zamani Twitter anaandika Mwanasiasa Emmanuel Ntobi,
Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya...
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya...
Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa .
"Ni vema tukafanya haraka...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye...
1. Yaliyotokea Tanzania ni kwa sababu Samia anadhani watanzania ni objects zake, sisi kwake ni kama kuku, ng'ombe , mbuzi , nyumba, sahani, kikombe, kikiko, Γ§hekecheo and she can treat them at...
Wakuu,
Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?
Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea...
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi...
Friends and Our Enemies,
Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani...
Tumalizie kuwaumbua hawa Wakatoliki wa kuchaji. Huyu ni wa mwisho, then tuendelee na mambo mengine ya msingi. Dunia imeshajua hawa ni Wajinga, na Ulimwengu umetambua aliyewatuma ni Mpumbavu.
Huyu...
Kwako CDF MSTAAFU - MABEYO, tunakuomba uingilie kati suala hili naona mrithi wako hili kwake halimhusu, hii tabia ya kuibananga na kuibagaza Imani yetu ya dini yetu ya Roman Catholic ifike mahala...
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia...
https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw
Jikumbushi nywinywi nywinywinywi.
Yako wapi. Kumbe rais alituongopea?
Je, hapa si muongo kama waongo wengine?
Je, haya maridhiano siyo uongo?
Je...
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa...