𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨: 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗘𝗧𝗨 𝗦𝗢𝗧𝗘, 𝗦𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ni mali ya Watanzania wote wala si ya Serikali au chama cha...
Mwongozo wa sheria zetu upo wazi kabisa:
1) Ukishirikiana au kumsaidia yeyote kufanya uhalifu, na wewe unakuwa ni sehemu ya uhalifu, na ukifahamika, unastahili kushtakiwa.
2. Nchi yetu imeishi...
Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma
Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki...
Antony Lusekelo maarufu kama Mzee waupako afunguka mazito baadhi ya waumini wake kupoteza maisha kwenye maandamano ya October 29.
"Niwape pole sana watanzania hakuna mtu ambaye hajaguswa na jambo...
Yaani unajua Kuna watu wanataka kuponza wenzao huku wao wakiwa chumbani wamejificha huko ulaya.
ivHi mtu kama mange alietuaminisha jeshi uchwara lipo na sisi anatuambia tutoke Kwa amani yeye...
Moja ya kitu ninacho kijutia katika maisha yangu ni kupost na kuhamasisha maandamano kwa mimi nilivyojuaga watu wanashika mabango barabarani na sikujuwa kama ilivyotokea, ndio maana niliitisha...
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, amesema Askari wa magereza wamemzuia kuingia Gereza la Ukonga kumuona mwenyekiti wa...
Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee!
Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee...
Wakati ambao ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mh. Joel Nanauka ikiendelea mkoani Mbeya, vijana wamepata nafasi ya kutoa maoni yao na kuanisha changamoto zao...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗞𝗨𝗞𝗔𝗚𝗨𝗔 𝗨𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗜𝗙𝗨 𝗨𝗟𝗜𝗢𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗩𝗨𝗥𝗨𝗚𝗨 𝗭𝗔 𝗢𝗞𝗧𝗢𝗕𝗔 𝟮𝟵 𝗠𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili...
Masheikh wa BAKWATA wamekomalia propaganda ya kwamba raia wakidai au kuzitka haki za msingi za kijami wakati huu ni kuvunja amani amani ya nchi. Huu ni uongo mtupu, propaganda chafu na ubinafsi...
Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini?
Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake
=========
Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu...
TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu...
Huyu ndugu yenu ni member humu kwa miaka takribani 13. Hakuna Mtandao unaongoza kwa mijadala mikali kama Jamiiforums.
Kwa hiyo mijadala hiyo inapaswa kukujenga na kuwa mtu mwingine kabisa.
Hali...
Ndugu zangu nachanyikiwa
Na nukuu wakati Samia anaingia madarakani na kujipachika jina serikali awamu ya sita.
Diplomasia ya nchi yetu iliharibiwa
Kwa miaka ya nyuma.
Akaja na hoja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.