Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo...
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu...
Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, ametoa wito kwa viongozi wa dini, vyombo vya habari na asasi za kiraia kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia juu ya umuhimu wa kupiga kura na...
Yani bado wabunge wanatuchukulia poa kiasi hiki?
===
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amewaeleza wananchi wa kata ya Illigamba kuwa tayari ameagiza vifaa vyake binafsi kwa ajili ya...
Wakuu!
Inadaiwa CHAUMMA wamengia mitini na kushindwa kulipa watu waliowasafisha kwenda kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika jana Mei 21 jijini Dar es Salaam, walalamikaji wanasema waliapewa ahadi ya...
Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...
Anasema:
1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...
2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Nasra Mohammed amekemea baadhi ya Wanaharakati uchwara kutoka nchi za jirani kuingia jijini humo kuingilia masuala ya nchi ya Tanzania.
Kauli hiyo...
Hatuwezi kuendelea tena kudanganywa na kupumbazwa na watawala waliovimbiwa utajiri wa Nchi hii.
Mwaka huu tunahitaji Rais kama alivyo Ibrahim Traore. Inakuwaje kijana mdogo tu Ibrahim Traore...
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019...
https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine...
Vile vyama sijii 13 ambavyo ni partiner wa CCM kitu kimoja walicho nacho sio wanafiki na wanaiunga mkono CCM wazi wazi bila kificho tena mchaka kweupe..
Ila sasa ikawekwa ACT na NCCR Mageuzi au...
https://youtu.be/ncGGFtMJA9A?si=lLgn0JLrDY0nSRgd
Nani anaweza kubishia hili?
Kwamba, Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa CCM jimbo la Kawe - DSM kwa press conference yake ya muda mfupi uliopita...
Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwemo Wenyeviti wa Mikoa wameungana kwa sauti moja kulaani vikali kile walichokiita vitendo vya baadhi ya wanaharakati na...
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa...
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu...
Wakuu habari zenu.....
Gwajima jana tar 24 ameitisha pree na kuongea mambo kadha wa kadha.
Katika mengi aliyoyaongea Gwajima jambo moja juu ni hili.
Gwajima amekuja kutuonyesha kwamba sisi...
John Heche ameonesha kuchukizwa na waliokihama chama hiko wakati kama huu, ilhali watu wengi wamekufa na kuteseka ili kuwapambania wawe wabunge.
"Wengine tulipigwa risasi, tukafungwa jela kwa...
yani mtu hana hata vigezo vya kupiga kura anasema wapo tayari kumpigia kura Rais Samia na Mwinyi huko Zanznibar.
Mtoto mdogo kama huyu anamezeshwa itikadi za hivi ni mbaya kwa mustakabali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.