Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mnamo tarehe 25/8/2017 siku ya ijumaa,VETA walitoa shortlist ya watu kwa ajili ya kufanya interview siku ya tarehe 4/9/2017 katika kada mbalimbali zikiwemo Bursar,Accountants,Database...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakati rais aliposimama kuhutubia siku ya sheria alitahadharisha chama cha wanasheria kumchagua mwanasiasa na angalizo lake lilihusu chama hicho kupoteza maana nzima na kuwa cha kisiasa wengi...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali yetu ya awamu ya tano imeendelea kukumbana na ukosoaji usio na maana ambao hauna lengo la kuweka misingi ya uzalendo kama anavyotaka rais na dira yake ya kujenga upya taifa hili zuri na...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Taarifa zaidi kuhusu akaunti ya Escrow TAARIFA zaidi zimezidi kupatikana kuhusu sakata la Escrow, linalohusisha makubaliano baina ya serikali, Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Tanzania...
3 Reactions
66 Replies
11K Views
Kwanza natoa pongezi kwa kazi kubwa iliyofanywa na vyombo vya usalama vikishirikiana na jeshi la polisi. Tangu yauawe yale majamaa 13, hali angalau hali ya usalama huku kibiti kwa sasa...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Redirect
WABUNGE wa Bunge la Canada wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli kwa jinsi anavyofanya kazi zake za kuwapambania Watanzania wa chini ili wawe juu kwa kuwapatia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ajizi nyumba ya njaa, Ndugu Tundu Lissu sasa alipofika ni pabaya kwani hadhi yake kisiasa imeshuka mno. Ni ngumu kuuzika kwenye majukwaa kwani asilimia kubwa ya watanzania sasa wamemwona kama...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tundu lissu amekuwa akimtuhumu Mh rais kwamba ni dikteta uchwara huku akikamatwa mara kadhaa kwa uchochozi na matamko mbalimbali yanayohatarisha amani ya nchi hii Hakika Lissu anajua wazi rais si...
0 Reactions
Replies
Views
Nimefikia kuandika hiki kutokana na kile kinachoendelea kwa sasa,Rais wetu ni mzuri sana na pfalsafa alizonazo kwa wananchi na kwa taifa kwa ujumla ni za kuleta maendeleo ya nchi yetu.Lakini...
0 Reactions
10 Replies
945 Views
Ndugu zangu watanzania, Baba wa Taifa hili mwalimuNyerere alipoamua rasilimali za taifa hili zisichimbwe mpaka pale watanzaniatutakapokuwa na weledi na uwezo wa kutosha katika kusimamia zoezi zima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni ukweli usiofichika sasa kwamba wale marafiki wa siku nyingi ambao hawakukutana barabarani sasa hawapikiki chungu kimoja. Mfarakano huu kila mtu anauelezea kwa tafsiri yake na kwa jinsi...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
  • Redirect
Mnamo tarehe 25/8/2017 siku ya ijumaa,VETA walitoa shortlist ya watu kwa ajili ya kufanya interview siku ya tarehe 4/9/2017 katika kada mbalimbali zikiwemo Bursar,Accountants,Database...
0 Reactions
Replies
Views
Mhe. Magufuli amesema bungeni muda mfupi uliopita, maamuzi magumu si muhimu yanaweza kutolewa hata na vibaka, bali viongozi watoe maamuzi makini. Ikumbukwe kuwa muasisi wa neno "MAAMUZI MAGUMU"...
2 Reactions
240 Replies
18K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Nini kimekupata kamanda Salum Mwalimu! Maana umekaa kimya sana pasipo kutoa taarifa yoyote kama hapo awali tulivyokuwa tumekuzoea Kama sikosei sijapata kukusikia wala kusoma bandiko lako...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Redirect
CCM ina wanachama zaidi ya 12 mil hivyo haiwezekani mtu akapita ktk uchaguzi bila kupingwa. Kwahiyo kwa chaguzi zinazoendelea sasa hakutakuwa na mambo ya mgombea aliyepita bila kupingwa. Source...
0 Reactions
Replies
Views
Nitawajulisha kinachojiri ====== Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongelea utaratibu wa uchaguzi ndani ya chama cha Mapinduzi ambacho kipo katika harakati za chaguzi...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania na ni lazima atusikilize na apange kulingana na matarajio yetu. Nafikiri ni wakati muafaka sasa watanzania kuanza kuzitafakari...
73 Reactions
309 Replies
25K Views
Naona JK hapendezewi na kamata kamata ya wapinzani na kuwabana wasifanye siasa...ndani ya nchi......Mzee wa Demokrasia!! ======== Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameelezea umuhimu wa utawala bora...
31 Reactions
243 Replies
25K Views
  • Redirect
Wakili wa kujitegemea na mmiliki mwenza wa Smile Stars Attorneys, Leonard Tungaraza Manyama amepinga wito uliotolewa na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kutaka wanachama wote wa TLS...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…