Ukimya wa katibu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,970
2,184
Nini kimekupata kamanda Salum Mwalimu! Maana umekaa kimya sana pasipo kutoa taarifa yoyote kama hapo awali tulivyokuwa tumekuzoea

Kama sikosei sijapata kukusikia wala kusoma bandiko lako linaisema serikal au kuonesha namna unavyofanya shughuli zako za ukatibu zanzibar kichama ikiwa ni tangu ulipopata dhamana na kutolewa mahabusu tokea huko simiyu. Nini kimekukuta kamanda wetu!?

Au kwa sasa shughuli za kichama zimesimama, ukimya wako umesababishwa na nini?
Ulisikika kidogo kipindi cha uchaguzi wa bunge la Afrika mashariki lakini baada ya hapo ndio kimya kabisa, tena ilikua sio katika majukumu yako ya kawaida

Ni nini kimemkuta Salumu Mwalimu
 
Hivi mnatakaje? Akisema tabu akikaa kimya tabu. Sasa afanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kimekupata kamanda Salum Mwalimu! Maana umekaa kimya sana pasipo kutoa taarifa yoyote kama hapo awali tulivyokuwa tumekuzoea

Kama sikosei sijapata kukusikia wala kusoma bandiko lako linaisema serikal au kuonesha namna unavyofanya shughuli zako za ukatibu zanzibar kichama ikiwa ni tangu ulipopata dhamana na kutolewa mahabusu tokea huko simiyu. Nini kimekukuta kamanda wetu!?

Au kwa sasa shughuli za kichama zimesimama, ukimya wako umesababishwa na nini?
Ulisikika kidogo kipindi cha uchaguzi wa bunge la Afrika mashariki lakini baada ya hapo ndio kimya kabisa, tena ilikua sio katika majukumu yako ya kawaida

Ni nini kimemkuta Salumu Mwalimu
Acha Majungu Wewe! Unataka Umsimkie Wakati Baba Yako [HASHTAG]#Sizonje[/HASHTAG] Hataki Watu Wasikike Hata Kwa Majukumu Yao Ya Kikatiba. Yaani Anataka Pekee Yake Asikike Na Kuonekana Kwenye TV Akiuza Msura Wake.
 
Kwa hiyo yeye kwa ukimya wake kaamua kuwa mfuasi wa 'baba'?
 
Acha Majungu Wewe! Unataka Umsimkie Wakati Baba Yako [HASHTAG]#Sizonje[/HASHTAG] Hataki Watu Wasikike Hata Kwa Majukumu Yao Ya Kikatiba. Yaani Anataka Pekee Yake Asikike Na Kuonekana Kwenye TV Akiuza Msura Wake.
Amenyoooka sasa
 
Salum Mwalim anasubiri uchaguzi agombee zake Zbar.....wakati huo CDM imeungana na CuF Maalim wanapambana kivyao!!!! Zbar huko ndio anaratibu zoezi hilo kwa sasa
 
Tanzania imekuwa zaidi ya mkoloni aliyetutawala pamoja na kwamba tuko huru,watu wakitumia uhuru na haki yao ya kusema wanakamatwa.

Kwa usalama wao wameona ni bora wakae kimya wasije wakanyomfolewa shingo zao bure.
 
Back
Top Bottom