Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga. "Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana...
2 Reactions
7 Replies
387 Views
Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa...
4 Reactions
21 Replies
972 Views
Ndugu Watanzania, Katika kipindi hiki ambacho hisia zimepanda, sauti zimegawanyika, na tumaini limeanza kuyumba, tunalazimika kurejea kwenye msingi mmoja unaotufanya tuwe taifa: Amani, utu na...
0 Reactions
2 Replies
248 Views
Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima! Jitafakari!
10 Reactions
28 Replies
854 Views
BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Samia hana uwezo wa kutoka kuingia mitaani kuongea na wananchi kadri anavyo endelea kuuwa wananchi ndio anaongeza hasira watu. washauri wake ni akina kingwendu au ? samahani kingwendu.
4 Reactions
9 Replies
527 Views
Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo. Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya...
33 Reactions
63 Replies
2K Views
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe...
8 Reactions
122 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
  • Featured
Kuna kauli moja imeibuka baada ya kilichotokea kipindi cha uchaguzi: “Tutalinda amani kwa gharama yoyote.” Imeanza kutumika kama wito wa wajibu wa kitaifa wa kuhakikisha nchi haianguki kwenye...
15 Reactions
22 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa...
3 Reactions
8 Replies
467 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche amewatembelea jana Novemba 29, 2025 kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea. Lengo la ziara hiyo, amesema, lilikuwa kuwapa moyo na...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
"Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa...
1 Reactions
3 Replies
252 Views
Wakuu, Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo! Unaenda...
12 Reactions
26 Replies
619 Views
Wakuu. Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea...
4 Reactions
10 Replies
386 Views
Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia. Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na...
4 Reactions
11 Replies
373 Views
Nimeshindwa kusahihisha kichwa cha habari, maana yangu ilikuwa Sheria za ndani na za Umoja wa Mataifa ( Sheria za nje ya nchi zinawezakuwa local laws za nchi anayoishi lakini ni sahihi kusema...
5 Reactions
180 Replies
5K Views
Wakati huu ambapo machawa wamekataliwa na wananchi ni wakati pia wa wasanii wa kizazi kipya Gen z kuchukua fursa hii kuibuka kuwafunika. Tunataka wasanii wapya.
2 Reactions
3 Replies
190 Views
Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata. Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu...
6 Reactions
5 Replies
333 Views
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 𝗥𝗘𝗟𝗘𝗔𝗦𝗘 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗦𝘁𝗿𝗲𝗻𝗴𝘁𝗵𝗲𝗻𝘀 𝗗𝗶𝗽𝗹𝗼𝗺𝗮𝘁𝗶𝗰 𝗖𝗼𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝘁𝗵𝗲 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝗮𝗹 𝗖𝗼𝗺𝗺𝘂𝗻𝗶𝘁𝘆
2 Reactions
10 Replies
299 Views
Back
Top Bottom