Peter Madeleka, amekosoa utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na jeshi la polisi, akidai kuwa mchakato wa utoaji haki nchini umejaa migongano ya kisheria na matukio yanayovunja utu wa...
Kuikosoa Kufungwa kwa Mtandao na Kufichwa kwa Taarifa
CHADEMA inalaani kwa nguvu jaribio lolote la kufunga, kupunguza au kuchezea upatikanaji wa mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza rasmi muundo wa Kamati za Kudumu za Bunge, ikiwemo orodha ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wao, hatua inayolenga kuimarisha ufanisi wa shughuli...
Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema...
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa...
Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu...
Dar es Salaam kwa sasa ni jiji lenye idadi kubwa sana ya watu lakini lenye eneo dogo kijiografia. Hali hii imesababisha msongamano mkubwa wa watu, makazi holela, shinikizo kwenye miundombinu...
Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, ameshangazwa na majaji kulalamika mbele ya Rais kuhusu usalama wao, akisisitiza kuwa kisheria, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyombo vya Dola na si mali ya...
Heshima yako mkuu Dr. Mwigulu Nchemba,
Nimeona hii post:
https://www.instagram.com/reel/DTfqcDJDJox/
Naomba tambua kuwa:
PCCB wanajua, TISS wanajua na kwa taarifa yako - cha kuwafanya wahusika...
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amezitaka wizara zinazohusika na masuala ya ajira zisimamie kikamilifu utekelezaji wa sheria zinazotaka kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania zisifanywe na wageni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya...
Mfumo wa siasa Tanzania umekufa rasmi 2025 tuna mfumo wa kipolisi. Mfumo umebaki kwenye vitabu vya sheria ambao hata haufutwi. Kama taifa tuna haya
1. Tufufue mfumo tena
2. Tuweke katiba mpya...
Wilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za...
Majibu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamira Akijibu kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29, Akiongea kwenye mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo December 05,2025.
Nyerere na karume sio independence fighters kama vitabu au historia ya Taifa iliyopikwa inavyotuaminisha hii historia ya Tanzania imepikwa lengo hawa Viongozi wawili wapewe heshima kubwa ambayo...
1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Kuna taarifa zinasambazwa katika mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Peter Mwita Wanda, Mkazi wa Sabasaba Tarime.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Polisi Tarime/Rorya, lingependa kutoa ufafanuzi...
Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni.
Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey...