Vyombo vya habari Namibia ikiwepo Shirika la Utangazaji Namibia (NBC) vimeripoti taarifa ya Naibu Jaji Mkuu wa Namibia kuombwa na Tanzania kujiunga katika Tume ya Uchunguzi Tanzania
Naibu Jaji...
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe.
Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa.
Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za...
ACT Wazalendo imepokea taarifa ya Serikali kuhusu kuundwa kwa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Pamoja na kutambua umuhimu wa kuwapo...
Ameandika Dr. Godbless Charles
Uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa Namibia, Jaji Petrus Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais wa Tanzania ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyotokea kabla na baada ya...
Wanabodi
Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta...
Namshangaa Samia na matume yake.
Tume ya CHANDE ilimwambia vijana walilipwa ili waandamane, walilipwa ili wachome nchi , hao vijana zaidi ya elfu 2 ameshawaua na yeye ndo alitoa amri watu wauwawe...
Naanza
KAGERA na KIGOMA- Hii mikoa ilikuwa na utiifu uliotukuka
Singida ilitegemewa kitanuka sababu mtoto wao yupo ndani, ila tofauti na mategemeo hali ilikuwa shwari kabisa
Njombe na Iringa...
https://www.youtube.com/watch?v=lTwq-sOG2Is
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria...
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana...
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka...
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.
Ulishiriki uchaguzi...
Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche.
Nafikiri...
Athari za kutoshiriki kwa CHADEMA katika uchaguzi mkuu
1. Ushindani wa kisiasa ulipungua kwa sababu chama kikuu cha upinzani hakikushiriki katika uchaguzi.
2. Wapiga kura walipata chaguo chache...
Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi...
Wanabodi
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi
Kufuatia kilichotokea kwenye yale maadhamano haramu ya tarehe 29 October, na kutaka kujirudia tarehe 9 Desemba, 2025, kiukweli tishio la...
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla...
Shauri la Kikatiba Na.7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo dhidi ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) na wenzake linaendelea kwenye...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.