Hili ni swali fikirishi sana.
Ukiangalia miradi mingi anayoizindua Rais na kuweka majiwe ya msingi ni miradi ya kiwango cha Wakuu wa Mikoa au Waziri. Sio yote lakini mingi ni miradi ambayo...
Mnaweza kuzungumza n.a. msifikie Maridhiano, Japo pia mnaweza kuzungumza n.a. mkaridhiana; Hasa pale aliyeiba kura anapokubali kujiuzulu n.a. kuundwa Serikali ya mpito
Ukimuuliza Mbowe, Mnyika...
Ukishangaa ya Chama na Simba utaona ya Mdee na chadema ni kweli chadema imeshindwa ku move on kwa Mdee?
Huyu alishakua msaliti na msaliti ni msaliti tu.
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Mtwara-Mbambabay...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Hamis Kigwangalla ambaye amewahi kuwa mbunge na waziri kwa nyakati tofauti tofauti Amejikuta katika maumivu na wakati Mgumu sana kila akikumbuka namna...
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule,
Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize...
Uhamisho ni haki ya watumishi, lakini kuna maeneo tunapata changamoto, hasa kwa upande wa wanandoa. Unakuta wanandoa wengine ni vijana wanashindwa kuvumilia matokeo yake, wanandoa tukiwatenganisha...
Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana...
Mbunge wa Viti Maalum, Jasmine Ng’umbi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameonesha...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu...
Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua
Uponyaji
Wokovu
Utajiri
Kufanikiwa
Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah
Jamaa hafundishi...
Maamuzi mengi ya Taasisi za kudhibiti yanakua na double standard, huyu jamaa wote tunajua kua yuko CCM na anatumika kuhoji Viongozi wa kiasiasa na pengine kuzungumzia siasa, Kiuandishi hii...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amepongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa meli nne unaoendelea katika Bandari ya Karema Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.
Kihenzile ametoa pongezi...
Acheni mihemko na hisia za kijinga
Msimamo wa chadema uko wazi
Lisu aachiliwe ndo waamue kama watafanya mariandano au la
Ndo maana CCM wameng'ang'ania apewe masharti kabla ya kutoka chadema...
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya...
Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji, leo Jumatatu Aprili 13, 2026 wamekutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu...