Ni usiku wa saa kumi Nina amini Ole Sabaya upo hai au umeondoka, Mbowe najua uko hai, lakini Makonda sjui uliko maana ushakuwa waziri Sasa walindwa, nakushauri uimalishe ulinzi wako, usizanie...
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi...
Wakuu,
Eti wanataka tuache kuibagaza ripoti yao ushuzi tuhamie kwenye jambo jingine, lakini wanatia petroli kwenye moto🤣🤣 yaani ndo wameona Kizigha atazima hii, kabisaaaa? Haya wacha tuendelee...
wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos...
Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa
''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai.
Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya...
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na...
CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji.
Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi...
Wanabodi,
Huu ni ushauri wa Bure kwa Balozi Humprey Polepole.
Tukubali tukatae, kitendo alichokifanya Balozi Humprey Polepole, kujiuzulu nyadhifa yenye hadhi kubwa kama ya ubalozi, ni kitendo cha...
Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day...
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.
Hakuna namna hata ufanyeje.
Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.
Sasa huyu Samia leo...
Binafsi naamini kama mchakato wa katiba mwaka 2014 usingehujumiwa na makundi ya watu wahuni wanaonufaika na mfumo basi kuna mambo mengi ambayo yangetokea, aidha kwa bahati nzuri au mbaya na...
BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?"
Ambassador Lazaro Nyalandu...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la...
Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu...
Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili...
Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga".
Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika...