Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama kimetoa ufafanuzi rasmi baada ya kusambaa kwa barua ya kujitoa uanachama ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Ndugu Kabendera. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Kabendera ni miongoni mwa waasisi wa...
0 Reactions
2 Replies
517 Views
"Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema, 1. Bwana John Mnyika 2. Amani...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Ukitaka kujua tunawakilishwa na wachumia tumbo waliojaa unga kichwani, subiri Rais Samia akiamka vizuri na kukemea vitendo vya utekaji na kuagiza vyombo vya usalama vinawakamata wanaotekeleza...
2 Reactions
5 Replies
498 Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Kawaida ameandika "Umeahidi wananchi umeshindwa kutekeleza, licha ya kuwa kura za maoni hukuongoza Chama kikaamuwa kukuamini...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ni zaidi fezea. https://www.youtube.com/live/toeAMRhpOZ0?si=V_T-07W3gayr4V6n Vijana wanasema Gwajima ana sehemu nyingi kufikisha taarifa hiyo lakini kaamua kwenda kwenye media na kwa...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Ni aibu kubwa kwa taifa bunge zima tangu utekaji umetamalaki wanakaa kimya amejitokeza mmoja wao Askofu Joseph Gwajima akatoa ushauri tena nje ya bunge kuhusu utekaji unaoendelea ameonekana...
4 Reactions
14 Replies
810 Views
Wanabodi https://www.youtube.com/live/_ZEl6lsHc4c?si=osZPZ2LFfZc6ACe3 Naangalia TBC live mubashara, Katibu Mwenezi wa CCM, CPA Amos Makala, ametoa siri ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi, CCM...
2 Reactions
9 Replies
657 Views
Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe...
3 Reactions
2 Replies
459 Views
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili lijitu baada ya kukuona limesahauliwa na Uongozi wa Kifisadi wa Awamu ya Sita sasa limeona like na Ujuha na Upumbavu wa kijinga ili lionekane linatetea Awamu ya Sita. Huwezi kuhalalisha...
14 Reactions
23 Replies
1K Views
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo. Ajibiwe na ngazi ya wilaya na...
2 Reactions
167 Replies
9K Views
Uchaguzi mkuu unakaribia na katika jimbo la Simanjiro wanatajwa wengi kuwania nafasi ya ubunge , Tunahitaji angalau wawakilishi wenye kiwango kikubwa cha Elimu ,si elimu itasaidia lakini angalau...
0 Reactions
7 Replies
573 Views
(Sehemu ya Pili – Mapendekezo ya Maboresho ya Kimuundo na Kiutendaji) 1. Uteuzi wa Viongozi wa INEC Kwa sasa, Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Makamishna wa...
0 Reactions
4 Replies
450 Views
HISTORIA YA MKOA WA MANYARA Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu jionee Mwenyewe === Mwenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa...
15 Reactions
124 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, kimesema hakina nia ya kususia uchaguzi mkuu 2025, bali kinataka mabadiliko ya mifumo wa uchaguzi ndio uchaguzi ufanyike kwa misingi ya haki...
0 Reactions
5 Replies
546 Views
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda, amesema wanawake nchini wanamshukuru kwa dhati Rais Samia kwa juhudi zake kubwa katika kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa Zahanati, Vituo vya...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na...
0 Reactions
2 Replies
355 Views
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni...
17 Reactions
79 Replies
5K Views
Back
Top Bottom