Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza...
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM.
Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo...
.
Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali.
Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili...
Akitoa homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu Sherehe ya Kuzaliwa kwa Kristo Yesu katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Kanisa, Goba, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu Sana...
.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"
Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?
Tanzania...
Wamejitungia sheria ili wawezenkutenda maovu/dhambi bila kushitakiwa. Likitokea la kutokea hawa lazima waundiwe court Martial ili HAKI ITENDEKE na wala si kuwaonea.
1. Msoga et al
2. CCM mtandao...
Huyu Trump anamwaga mapesa hatari, pamoja na Watu wa bongo kupenda Democrats ila Republican ndo wanaotoa misaada mikubwa kwa Tanzania.
Baada ya kufutwa Kwa USAIDs Trump amekuja na mbadala wake...
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe
Kwa muda mrefu nchi yetu Tanzania, imekuwa ikibagazwa na media za nje, haswa za kibeberu kwa kuripoti na kutoa taarifa za uongo, uzushi na...
Tumeuliza Hivi kwa sababu ni dhahiri sasa kuna Vikundi vya machawa wanaolipwa hela za umma, tena wanalipwa hela nyingi kuliko Polisi n.a. Walimu.
Kama walikuwepo ni vema tukawajua kwa Majina yao
Mimi naamini hivyo,ukimpa uongozi mwanamke kwani atategemea kila kitu aamuliwe na mwanaume au wanaume.
Kibaya zaidi watamuamulia kwa maslahi yao kwanza hawatajali kama huyu mwanamke...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.
Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au...
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro Yuvenal Shirima, ametoa onyo kwa viongozi wa dini wanaotoa matamko yanayoweza kuhatarisha amani ya nchi, akisema...
Wanabodi
Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo
Bado nipo ughaibuni katika haya na yale kuelekea siku ya October 29 ya Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua rais wao na wawakilishi...
Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani.
Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na...
Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania...
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na...