Umoja wa Afrika (AU) umeeleza kuwa una “wasiwasi mkubwa” kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na hatua ya kukamatwa kwa Rais Nicolás Maduro na utawala wa Rais wa...
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila...
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua...
Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
Hii ni hatari sana.
Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro?
...
...
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo...
Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela...
Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu?
Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa...
Madhara ya kutengeneza matatizo ya ndani hata kama una nia njema wananchi wako wataungana na wateso wako kukushughulikia....Wananchi wa Venezuela wameona bora washikane mkono wa Shetani mkuu US...
Polepole alitutukana sana Watanzania tuliokuwa tukikemea mauaji, utekaji na udikteta enzi za Magufuli.
Polepole aliyekuwa mpiga domo wake maarufu wa kupangua ukweli leo yamemkuta. Kayakanyaga...
Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya.
Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili...
Nguvu ya Taifa lolote ni Wananchi wake, viongozi waliotokana na ridhaa ya Wananchi wake, utawala unaojali zaidi hali ya maisha ya watu wake na kesho yao, utawala ukiwa haujatokana na ridhaa ya...
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini...
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole...
Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29
na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao!
Nategemea wabunge...
Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda...
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!.
Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini .
Asema, Hamna Mfalme...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake.
"Jeshi la...