Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maduro ni kama vile ana undugu na Samia, maana tunapita mulemule. Ni kama Mungu anatonyesha ya mbele na kututaka tuchukue hatua haraka ili tusije kuharibikiwa kama wao. Wananchi kuanza kumwomba...
2 Reactions
2 Replies
177 Views
Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani. Raia yeyote wa Marekani akishikwa au kushitakiwa nchi nyingine kwa utamaduni wa marekani ni swala la kitaifa sio tena swala...
2 Reactions
1 Replies
179 Views
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!! Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwanza nianze kueleleza kidogo Malengo ya No Reforms No Election. Huu mpango Mtukufu wa Chadema una lengo la kuchochea haki na kuzuia dhuluma pamoja na vurugu ikiwemo na mauaji yatokanayo na...
37 Reactions
175 Replies
7K Views
Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa...
7 Reactions
14 Replies
395 Views
Hata mtu kipofu anaona kabisa Tanzania imebadilika na inazidi kubadilika kuelekea kubaya zaidi siku hadi siku. Muungano unazidi kuporomoka kukiwa na viashiria vinavyokua vya u-Bara - na U-Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Wakuu, Nina maswali machache. Tushazoea utaratibu wa taifa hili waandamanaji wanapigwa risasi kwanini hawa imekuwa tofauti? Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ...
5 Reactions
10 Replies
299 Views
Tuacheni maigizo suala ni lazima wauaji na watekaji wakamatwe iwe amani au haki lazima wawajibishwe mara moja hatuta waacha madaraka yanaisha
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Sasa ni rasmi yupo mtu kati Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa Hakuna mtu ataweza kumteka tena Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi Hakuna kitu atakipanga kisivuje Kiufupi atakuwepo Kama...
142 Reactions
512 Replies
52K Views
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before...
130 Reactions
318 Replies
28K Views
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea. The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons...
30 Reactions
97 Replies
2K Views
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, amezungumzia matukio yaliyotokea mwaka 2025 na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kulinda tunu ya amani...
2 Reactions
13 Replies
436 Views
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi...
0 Reactions
11 Replies
957 Views
Kwa muda fulani nimekuwa nikisubiri kwa hamu ili nione jibu kwa swali lililoulizwa hivi kribuni, "who are you?" Nilijua kuna siku jibu litatolewa tu. Na hatimae jibu limetolewa, kama vile tu yale...
9 Reactions
22 Replies
779 Views
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema: Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha...
2 Reactions
29 Replies
796 Views
Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…