Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko. Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama...
26 Reactions
298 Replies
14K Views
Kwa yaliyotokea Tanzania mwaka jana ambapo, kwa mara ya pilli, watawala wetu wachovu na hovyo waliua watu wetu tokana na maandamano ya Oktaba 29 na kinachoendelea kwa sasa, ni dhahiri utawala wetu...
6 Reactions
16 Replies
371 Views
Ikiwa mtu atatoa ushahidi kwenye tume pendwa analindwaje dhidi ya watekaji?
3 Reactions
25 Replies
2K Views
GT Asipoonekana mioyo yetu inakuwa na amani sana maumivu na machungu ya M029 huwa yanapungua. Mshaurini aendelee kujificha hivyo hivyo huenda tukasahau hata kidogo.
5 Reactions
18 Replies
477 Views
'Kitu gani nyie?' Aliuliza rais Samia. Nadhani rais aliwakusudia Watanzania. Marais wa Afrika ni simba kwa wananchi wao, lakini ni fisi kwa Wakoloni! Ndiyo maana niliposikia swali hilo moja kwa...
2 Reactions
9 Replies
404 Views
Leo, Jumanne Januari 06.2026 familia ya aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole imefika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao Tanzanite Street...
6 Reactions
27 Replies
841 Views
Tanzania ilijitanabaisha hapo awali na kipindi cha muasisi wetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba tutakuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani NON ALINGNMENT MOVEMENT...
2 Reactions
19 Replies
246 Views
Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji...
12 Reactions
99 Replies
4K Views
Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa...
3 Reactions
26 Replies
759 Views
Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi. Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo...
2 Reactions
3 Replies
189 Views
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani. Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama...
37 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN Fact-Finding Mission on Venezuela, 2025) inaonesha kuwa maelfu ya watu wameuawa kinyume cha sheria nchini Venezuela, wengi wao wakiwa wafuasi wa vyama...
6 Reactions
16 Replies
286 Views
Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima. Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi...
4 Reactions
4 Replies
255 Views
Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki uchaguzi wa madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro...
2 Reactions
8 Replies
309 Views
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na...
5 Reactions
26 Replies
847 Views
Mwambieni achukue Majenerali wake wengi wote wapumbavu na machawa apige nao picha. Siku ya mwisho hayatamsaidia. Damu za ndugu zetu alizomwaga lazima zipate haki yake. Mwambieni hata ahonge...
8 Reactions
15 Replies
388 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa jeshi letu la polisi. Wewe kama ni mmoja wa wale wenye allergy na pongezi zozote kwa awamu hii ya tano, naomba nikushauri, uishie hapa ili tusiharibiane...
28 Reactions
178 Replies
19K Views
Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na...
13 Reactions
47 Replies
787 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…