Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa baada ya miaka 60 ya uhuru kuona Watanzania bado Wanajisaidia Vichakani. Hii inatokana na kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Wasiowajibika. Uchaguzi wa 2024 uwe...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Salaam Wakuu Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea. Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu...
2 Reactions
2 Replies
408 Views
Baadhi ya Wakazi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepewa elimu juu ya umuhimu wa marekebisho ya Katiba iliyopo sasa. Wakufunzi katika mafunzo hayo Mwl. Deus Kibamba ambaye ni Mhadhiri wa...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Mkuu wa mkoa wa Singida mh Halima Dendegu amewataka Wananchi kujitokeza kupiga Kura 27 November kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa RC Halima amesema Kupiga Kura ni swala lililoanzishwa na...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika November 27, 2024 Nchi kote. Sasa kama wewe ni mwananchi wa Tanzania na umejiandikisha ili kupiga kura mwaka huu je...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita Pia soma: LGE2024...
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia. Watoto wetu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Askofu Dr Bagonza amesema Padre Martin Luther alipigilia bango lenye Hoja 95 kwenye Lango Kuu la Kanisa pale Ujerumani na kuleta Matengenezo ya Kanisa Padre Martin Luther akawa Mchungaji...
3 Reactions
11 Replies
771 Views
Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1% Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba leo tarehe 26/10/2024 kipyenga cha uchukuaji wa fomu za kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa kimepulizwa Rasmi. Na hivi ndivyo Chadema ilivyofanya...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura. Bila kujali...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia kesho Nchi inakwenda kusimama pale ambapo kutakuwa na zoezi la uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali za mitaa katika maandalizi ya uchaguzi...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Wakuu, Naombeni mawazo yenu hapa tukikumbuka kuwa kushiriki siasa siyo tu haki ya kila mtu, lakini pia ni fursa ya pekee ya wanawake kuchangia kwenye maamuzi ya nchi, yanayoathiri maisha ya kila...
0 Reactions
2 Replies
477 Views
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Jàmani! Jàmani...
8 Reactions
143 Replies
47K Views
Habari wakuu, Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024. Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna vichekesho vinaendelea nchini hii vya ukiukaji wa sheria, kwa hoja za dhaifu sana eti kukosa kupigiwa kura na ujinga huyu unaongozwa na watumishi wa halmashauli kwa kuwasikiliza viongozi...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Back
Top Bottom