LGE2024 Kama Mtanzania utahudhuria kampeni za wagombea wa vyama vyote vya siasa ili kupima sera zao uchaguzi huu wa serikali za mitaa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
706
1,564
Zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika November 27, 2024 Nchi kote.

Sasa kama wewe ni mwananchi wa Tanzania na umejiandikisha ili kupiga kura mwaka huu je utaudhuria kampeni zote ya wagombea kutoka vyama vyote vya kisiasa ili kupima sera zao au utabaki na chama chako?

Embu tubadilishane mawazo kwenye hili!

Soma Pia: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
 
Back
Top Bottom