“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda...
1. Pamoja na umasikini wa kuletwa, lakini hata hicho kidogo kinaishia mikononi mwa wachache. sasa hao wachache ndiyo wanahakikisha hakuna uchaguzi huru. siyo CCM yote.
2. Matumizi mabaya ya...
Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa...
SERIKALI IMETAMKA KUWA UJENZI WA STAND YA KISASA YA MABASI YA WILAYA BIHARAMULO ITAJENGWA HIVI KARIBUNI BAADA YA ANDIKO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO KUKUBALIWA NA WIZARA .
Akijibu...
“Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.”
Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama...
Maswali ni mengi sana juu ya hili
Nikweli kabisa mifano ya Mbunge huwenda haikuwa sawa sana, ila kwangu mimi nilidhani, hiyo mifano ndiyo ingetuleta kwa pamoja kama taifa kuzungumza kwa lugha...
"Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi...
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini.
Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeisikiliza kwa kina,kirefu ,Umakini ,utulivu na kwa kila neno lililotoka kinywani Mwa Mheshimiwa Askofu Dkt Josephat Gwajima Hotuba aliyoitoa Kwa Waandishi Wa Habari...
Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu...
Wakuu,
Hivi katika lile shambulio tuseme Father Kitima na siombei lakini tuseme angepoteza maisha, kwa hiyo ndo kesi ingeishia hapo hapo isingeendelea?
Anyway,
=================================...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake...
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule...
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi...
1. Sina shida na namna unavyoanza kujenga hoja yako kwa kuwaeleza wananchi kwamba wao ndiyo msingi wa mamlaka ya serikali na utawala wa nchi kupitia chaguzi za kidemokrasia ukitumia Ibara ya 8 ya...
🇹🇿 MHE EZRA CHIWELESA AKABIDHI AMBULANCE KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KATIKA KATA YA NYAKAHURA, AKEMEA MATUMIZI YA LUGHA ZENYE UKALI KWA WANANCHI KUTOKA KWA WAHUDUMU WA AFYA - BIHARAMULO.
📸 Updates...
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana...
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na...
John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.