Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Okay, kama ametumia kifaa basi Mkuu wa kituo na Maaskari wa kituo husika wawajibishwe kwa sababu ni jukumu lao kuhakikisha usalama wa raia awe ndani ya kituo au nje ya kituo. Inakuaje mtu ana...
5 Reactions
27 Replies
588 Views
Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu...
5 Reactions
12 Replies
606 Views
Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na uwajibikaji WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la...
0 Reactions
4 Replies
203 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali tuhuma zinazomhusisha na mauaji ya aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
Taarifa inayosambaa mitandaoni kwamba viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje wamechota kiasi cha USD million 4 kwa ajili ya kwenda nje kusafisha nchi ni za uzushi hazina ukweli na zipuuzwe. Baada ya...
2 Reactions
9 Replies
327 Views
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya...
32 Reactions
67 Replies
1K Views
Mbowe alipenda sana siasa za kujaza tumbo lake. . Alikuwa yupo tayari kuuza watu ili mradi yeye na tumbo lake washibe na kwenda chooni. Kwa namna alivyoteswa Tundu Lissu leo hii Mbowe angekuwa...
4 Reactions
10 Replies
385 Views
  • Redirect
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama...
0 Reactions
Replies
Views
Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na...
53 Reactions
239 Replies
10K Views
Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha...
9 Reactions
17 Replies
580 Views
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi...
19 Reactions
44 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi CCM Taifa Ndg. Isaac M. Nchemba amewaasa Watanzania kuipenda na kuilinda nchi ya Tanzania kwakuwa kupitia upendo ndipo uzalendo wa kuijenga nchi...
2 Reactions
16 Replies
502 Views
GT Jana nilitaka kuandika huu uzi nikasahau sasa leo Mnyika kajitokeza na kuwajibu hawa akina Yona na Kombo. Waacheni hao ni wajinga hamna anayewaamini. Jamani hampaswi kufanya hivyo hao jamaa...
6 Reactions
16 Replies
310 Views
Wewe Samia ushachafuka na damu za watoto wa Kitanzania. Nimeona kuwa ushakodi watu wa kukusafishia taswira yako Marekani. Kwanza, ile ‘who are you?’ imekuwaje tena? Ulikuwa unatingisha kiberiti...
63 Reactions
59 Replies
2K Views
Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama...
15 Reactions
142 Replies
5K Views
Ukiangali video zinazotoka sasa, unaona kabisa kulikuwa na oder ya cleansing, extermination operation! Very sad!
2 Reactions
2 Replies
185 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita, jana Januari 15, 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kukutana na Viongozi pamoja na Wajumbe wa jimbo la Tanga...
1 Reactions
4 Replies
212 Views
Watanzania mkae mkijua Rais Samia anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi. Kitendo cha kuwarudisha Dkt. Phillip Mpango na Majaliwa Ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha aibu sana. Hawa...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…