Mwanasiasa wa muda mrefu katika siasa za Tanzania kutoka ndani ya CHADEMA Godbless Lema aliwahi kuzungumza mambo mazito sana kuhusu uongozi wa Rais Samia huku akimsii sana kwenye kauli zake na...
Na Wakili Charles N. Heche
Mwaka 2023, aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu, alitua katika Uwanja wa OR Tambo kuhudhuria semina akiwa na timu ya rafiki zake. Ni katika kipindi hicho...
Ndugu Godbless Lema kwa muda sasa amekuwa ni "specialist"wa kuwatabiria vifo viongozi wa Serikali na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi. Kibaya zaidi Vifo vikitokea Machema wanajifungia sehemu na...
Mimi ni Tomaso, hiki kigeu geu cha ghafla kinanitia wasiwasi, juzi alikuwa na wauaji leo anawatetea aliowasaliti juzi, je ni dhamiri yake au kuna msukumo wa nje au kuna project ambayo watawala...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani twitter) Kada wa CHADEMA Godbless Lema, ameandika;
"Kila chama kinachotaka kuongoza lazima kiwe mstari wa mbele katika kuhakikisha uwazi, uwajibikaji...
Leo tarehe 20 January ni kumbukizi ya kuzaliwa Mwanasiasa Bora kabisa kuwahi kutokea Tanganyika na Tanzania Bwana Tundu Antipass Lissu.
Siku kama ya leo ndo Mungu aliipa zawadi Tanzania kutupatia...
Yaliyotokea Mbeya leo hivi ndivyo CCM ilivyo.
Anayoendelea kuyafanya Kenan kihongosi hivi ndivyo CCM ilivyo.
CCM haijutii vifo vya maelfu ya Watanzania kwenye Uchaguzi wa mwaka jana Oktoba 2025...
https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya...
Fuatilia kila anapopita na kusikiliza kero za watu. J
Hakuna muitikio au msisimko kama kuna kiongozi mkuu wa chama tawala yupo kusililiza kero na kujua mapunngufu ya chama chake.
CCM haikubaliki...
20 January 2026
Songwe, Tanzania
SERIKALI YA KIJIJI YAJIUZURU CCM YATUPIWA LAWAMA KATA YA HEZYA MBOZI
https://m.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa kata ya Hezya...
Ni katika Yale maadhimisho ya miaka 33 ya Chadema, ambapo ofisi mpya ya chama hicho iliyojengwa Inyala ilikuwa inazinduliwa.
Unaambiwa Poliisi baada ya kuona mtiti wa Chadema wakavamia na kupora...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za...
OMG! OMG! Meta has unsuspended my WhatsApp account, +1 424 537 3057.
For those who don’t understand the important of regaining access to this number is that, this is the number that Tanzanians...
"Nilikataa kukatwa mguu, lakini madaktari waliniambia nimechelewa kupata matibabu." Huo ni ushuhuda wa kusikitisha wa George Chipeta (24), fundi wa umeme wa magari mkazi wa Banana, mkoani Dar es...
Ule muda wa Davos umefika.
Viongozi mbalimbali duniani wako huko.
Neno la muhimu hapo ni “viongozi”.
Sasa, huyu mtawala wetu ambaye ni haramu, naye ataenda au keshaenda?
Au ndo kajificha huko...
Akizungumza wakati wa mkutano wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kenani Kihongosi, mmoja wa wazee aliuliza ni lini serikali itaanza kuwabana wabunge wanaolala bungeni na kisha kuunga mkono...
TAARIFA KWA UMMA
AJALI YA GARI KUGONGA GARI LINGINE KWA NYUMA KISHA KUHAMA NJIA NA KUGONGA MAGARI MENGINE 03 NA KUSABIBISHA MAJERUHI 01
Tarehe 20/01/2026 majira ya saa 5:20 usiku katika barabara...
This was a design and build project. Ni wazi, takwimu walizokusanya hazikutafsiriwa ipasavyo kwa kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi. Over designing sio dhambi katika uhandisi
Wali over design...