Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzanzibari asijekuwa tena Kiongozi wa Tanganyika
14 Reactions
43 Replies
696 Views
  • Redirect
Huyu mama hata kama anamsapoti Mama Samia hakupaswa kuongea mbele ya umma. Kwanz hakuna mkatoliki anayebeba hii biblia ya kiprotestanti. Pia kakosea kutaja jina la jumuiya yake na mwisho kamaliza...
0 Reactions
Replies
Views
Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini mkoani Tanga, Timotheo Mzava amesema "Natambua nihamu ya watanzania lakini ni hamu ya wabunge wa bunge hili kwamba kama...
2 Reactions
21 Replies
547 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na...
5 Reactions
38 Replies
834 Views
SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia...
7 Reactions
7 Replies
325 Views
Salaam! Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku? 1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali? 2. Ni Tundu lissu aliyeko...
2 Reactions
52 Replies
843 Views
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Nodiki na Afrika uliofanyika tarehe 22...
1 Reactions
1 Replies
176 Views
Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma...
0 Reactions
1 Replies
152 Views
https://youtu.be/A9g01IWawAs?si=MpgoXABf4N-5Efu-
1 Reactions
8 Replies
331 Views
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA . Vijana wanajichekesha tu wenyewee
16 Reactions
58 Replies
2K Views
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe...
2 Reactions
17 Replies
525 Views
Magufuli yeye aliigeuza chato kuwa IKULU na Kuna siku aliwaapisha mawaziri pale nyumbani kwake alipo zikwa tukahoji tukaambiwa bwana IKULU ya Dsm ni NZITO mno unaitaji kusafishwa. Baadae...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu? Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya...
20 Reactions
34 Replies
714 Views
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein ...
29 Reactions
118 Replies
9K Views
Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini...
15 Reactions
29 Replies
1K Views
Haya mwageni wishes zenu hapa mama anapokea :AlizeePLS::AlizeePLS::AlizeePLS:🎂
2 Reactions
10 Replies
356 Views
Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu...
17 Reactions
118 Replies
10K Views
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza...
0 Reactions
10 Replies
283 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…