Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini...
0 Reactions
6 Replies
444 Views
John Forteo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenenzi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ameitaka Jamii na Vyama vya Siasa nchini kuhakikisha wanafuata sheria za nchi zilizowekwa . John Forteo...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametangaza kuwa maadhimisho ya Siku ya Samia mwaka huu yatakuwa ya kipekee na ya kitofauti. Amesema kesho Juni 3, 2025, badala ya kukusanya watu wote...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu. === Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl...
42 Reactions
175 Replies
10K Views
Watu aminaaaaaaaaaaa Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga...
11 Reactions
74 Replies
6K Views
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025. Katika taarifa yao waliyoitoa...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Tanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari. Japo anachosema Josephat...
2 Reactions
13 Replies
644 Views
MWONEKANO WA KISASA WA SHULE YA MSINGI KUMSALI ILIYOPO KATA YA NYAKAHURA WILAYANI BIHARAMULO . Wakati wa kampeni shule hii ilionekana kama ilivyo hapo juu wananchi wa kijiji cha kumsali waliamua...
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Wakuu, Wabunge wa Dar es Salaam: Elimu, Safari za Kisiasa, na Majukumu 1. Jerry Slaa - Mbunge wa Ukonga Chama: CCM Uchaguzi wa 2020: Kura 120,936 dhidi ya Asia Daudi Msangi (CHADEMA) aliyepata...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
5 Reactions
26 Replies
3K Views
GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO. Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika. Wadau...
28 Reactions
184 Replies
10K Views
ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa! Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha...
2 Reactions
14 Replies
581 Views
Ushahidi Mwanana huu hapa Wadau wakifuatilia Nondo na Spana zinazopigwa bila kujali mvua Pichani ni Pedeshee Maranja Masese akiambiwa Waja leo waondoka mwakani
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Rais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025 https://www.youtube.com/live/dtSWOacZX3s?si=52R5DMNF-khUWAEl =============================================================...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu ni Kila siku kuanzia saa 10, Maombi hayo atayaongoza yeye Mwenyewe. Aseme HATAKI KUONA UTEKAJI unaendelea nchini.
39 Reactions
142 Replies
7K Views
Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Sasa yamewadia majira na nyakati za watu kupata majibu ni kwanini Mch Josephat Gwajima aliiamua kuingia kwenye siasa za tawala za nchi hii kwa 100% tena kupitia Chama Cha Mapinduzi - CCM uamuzi...
35 Reactions
89 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom