Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi...
18 Reactions
37 Replies
885 Views
Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni...
5 Reactions
7 Replies
300 Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini...
3 Reactions
11 Replies
288 Views
My Take Wakati nawapongeza TRA ila tusisahau sera nzuri za Uchumi zinazosimamiwa na Serikali ya Samia ndio zimeifikisha Nchi Kwenye hatua ya kujiyegemea kiuchumi
3 Reactions
62 Replies
721 Views
TAARIFA KWA UMMA Kumekuwepo na taarifa za upotoshwaji zinazosambazwa na watu wasiokitakia mema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zikiwahusisha viongozi wa chama na kashfa zinazohusisha...
3 Reactions
8 Replies
307 Views
Tangu kuingia kwa vyama vingi vya siasa na kufanyika uchaguzi mwaka 1995, hatujawahi kuwa na makamu wa rais anayeeleweka. Mkapa ndio alianza na alituletea kitu cha ajabu kabisa. Dr Omary Ally...
20 Reactions
55 Replies
1K Views
Kutokana na upotoshaji wa baadhi ya watu kuhusiana na ziara ya Waziri Kombo, huko Vatican; Vatican na Kanisa Katoliki Tanzania kwa kupitia taasisi yake za Kanisa, ya Wasomi wataalam, imetoa...
17 Reactions
12 Replies
547 Views
Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni! Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni...
3 Reactions
6 Replies
272 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
0 Reactions
0 Replies
149 Views
  • Redirect
Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ———————————————...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa...
1 Reactions
4 Replies
292 Views
  • Redirect
Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ———————————————...
0 Reactions
Replies
Views
WAFANYABIASHARA MSIWAUMIZE WANANCHI-DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara nchini kutowaumiza Watanzania kwa kupandisha bei za bidhaa hususani kipindi...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about...
7 Reactions
13 Replies
389 Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama, Emmanuel Cherehani amehoji utaratibu wa mgonjwa kulipia fedha ya kwenda kumuona daktari katika hospitali za Umma hapa nchini ambapo amedai wagonjwa hulipishwa...
1 Reactions
8 Replies
395 Views
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B...
2 Reactions
10 Replies
435 Views
Kila script wanayotoa waigizaji wanakosea. Script ya kwanza ni ile ya maandamano ya kwenda ubalozi wa Vatican Tanzania, kuna makosa mengi ya kiufundi yalifanyika ikakosa mvuto. Script ya pili ni...
1 Reactions
3 Replies
285 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…