Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi...
2 Reactions
1 Replies
214 Views
DKT. MWIGULU AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USAMBAZAJI GESI ASILIA ▪️Asema gesi asilia ni kichocheo cha maendeleo ya viwanda, usafiri na uzalishaji wa umeme WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Kwa trend inavyoelekea na namna. spika atataka kutumiwa na mfumo kumlinda mama dhidi ya wakosoaji wake ndani ya chama chao. Naona kabisa wakifukuzana bungeni na hali itakuwa ngumu sana bungeni.
1 Reactions
2 Replies
141 Views
https://youtube.com/shorts/8L_jOSc8-KY?si=TAk4FjcfvYH6qQB6 Huyu Mama sio yule wa 2021-2022
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka. Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha...
40 Reactions
119 Replies
8K Views
Kwa idadi ya wamechinga 7000 kwa 20,000 kwa mwaka ni kiasi gani hapo sasa mlikurupuka na mipango yenu ikaishi ukingoni ,kama mngeendelea kusanya buku 20 leo mngekuwa nazo ngapi zisingetosha hata...
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa...
5 Reactions
6 Replies
343 Views
Dar es Salaam ni jiji lililo na mito inayotiririsha maji kuelekea baharini, lakini kwa muda mrefu kumekuwa na uhaba wa maji. Kwa muda mrefu jiji hilo limekuwa likitegemea maji ya mto Ruvu unaopita...
0 Reactions
5 Replies
306 Views
"Hauwezi ukawa unatajwa wewe ni muuaji alafu tukawa tunakuangalia tu, yani wewe umekuwa Malaika mtoa roho au?? Kila anayepotea akirudi anakutaja wewe aliyetekwa akibahatika kutoka salama anakutaja...
5 Reactions
19 Replies
574 Views
BALOZI MATINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SWEDEN, AELEZEA FURSA ZA UWEKEZAJI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi...
0 Reactions
6 Replies
264 Views
Niseme yafuatayo 1-Kuna Watu Wema Ndani ya Jeshi la Polisi na JWTZ wanaosimama na Kiapo Cha Katiba ambao kwao Wananchi ndio Kipaumbele chao, watu Hawa Baadhi waliuliwa na genge la Samia, ila...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea. Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake. Huwa anawa nanga sana wasomi...
7 Reactions
25 Replies
544 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania, CHADEMA, kinawatangazia watu wote Duniani kuhudhuria kesi ya uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wao Tundu Lissu...
12 Reactions
16 Replies
487 Views
Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu. Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa...
3 Reactions
4 Replies
153 Views
Zamani nilidhania dikteta mpaka awe kama alivyokuwq Nduli Amini. Kumbe hata leo hii madikteta wapo hapa Afrika
1 Reactions
1 Replies
120 Views
Hawa jamaa tunaomba watoe kipaumbele kwenye mashitaka dhidi ya hawa waauji na ambao mpaka sasa wameshindwa kuwajibika wala kuwajibishana.. Hawatakiwa kukalia ofisi za umma hata kwa sekunde moja...
16 Reactions
36 Replies
755 Views
WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea...
1 Reactions
5 Replies
259 Views
Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina...
5 Reactions
7 Replies
263 Views
Licha ya porojo, uongo na uzushi dhidi ya Tanzania kama taifa, serikali sikivu ya CCM imesalia kua madhubuti zaidi katika kuhakikisha kwamba uongo, uzushi na porojo za chuki zinazozalishwa...
3 Reactions
30 Replies
304 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…